nakwede97
JF-Expert Member
- Aug 9, 2021
- 3,017
- 9,986
Kuna mmoja kasema hatak mchaga Wala mpare mmmmhNa sisi tuwe wakabila sasa😉
Kuna mmoja kasema hatak mchaga Wala mpare mmmmhNa sisi tuwe wakabila sasa😉
Sasa unawaza nini , mbona wachaga wanaume tumejaa na wapare?Kuna mmoja kasema hatak mchaga Wala mpare mmmmh
Sie yetu machoSasa unawaza nini , mbona wachaga wanaume tumejaa na wapare?
ngoja tutazame tu kwa kweliSie yetu macho
Kijana na bikra ni humu tuUmenifungua macho mkuu.
Siku hizi kujitunza sio kuwa na bikra ni kutokuwa na mtoto.

Lamomy shemeji sio huyu kweli?Wazee hapa vipi
JINSIA: Me
UMRI: Miaka 45
WATOTO: Watoto wanne
HALI YA NDOA: Niliwahi kuoa, mke alifariki
KAZI: Mtumishi wa Umma
ELIMU: Degree
MAKAZI: Dar es Salaam / Dodoma
UMBO: Mfupi, mweusi
DINI: Mkristo Katoliki (RC)
NAMTAFUTA MKE:
UMRI: Kuanzia miaka 40
WATOTO: Awe na mtoto au asiwe naye (yote sawa)
RANGI: Mweupe
KAZI: Kama hana kazi itapendeza zaidi
ELIMU: Awe na ufahamu wa kutosha
Cha kusimlia ukweni..Hivi wakati wa kutafuta mke au mume kigezo cha Elimu huwa ni cha kazi gani hasa?
unajua waafrica mnulimbukeni sana.
Unajuta kuwahi😂 nyie mlikuwa mnapima uvumilivu kwa kuwaagiza maji ya kunywa? Huku vyeti tuu☺️Kweli dunia inaenda kasi sana, kila kitu ni network na connection 😢 😅
Ina-boost CV mkuu.Kijana na bikra ni humu tu![]()
Unaenda bandika sebleni mkuu😂Ina-boost CV mkuu.
ukabilaHawa watafutaji naona baadhi ni wanaukabila mmmh hebu tuendelee kuona
Mfupi mweusi🌚
Afu tubishi na tujuaji 😹Mfupi mweusi🌚
Tuiite uchawa wa mapenziHii ya kujiweka kwa kuforce nayo tuiitaje? 😥
hahahaAfu tubishi na tujuaji 😹