min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Na apo kwenye a mbili ndio ninapo feliNipo mbona labda ulikosea kuandika mwenyew huwa nasahau km jina lang lina aa mbili nilikuwa nahangaika kulog in muda si mrefu😀
Na apo kwenye a mbili ndio ninapo feliNipo mbona labda ulikosea kuandika mwenyew huwa nasahau km jina lang lina aa mbili nilikuwa nahangaika kulog in muda si mrefu😀
Hapo hata mwenye had nitafute usaidizi wa google 😂😂Na apo kwenye a mbili ndio ninapo feli
Mara nyingi nikiona kitu cha maana kuhusu meditation nakutag ila sikupatiHapo hata mwenye had nitafute usaidizi wa google 😂😂
Ooh kalili jina sasa nisikose mamboMara nyingi nikiona kitu cha maana kuhusu meditation nakutag ila sikupati
Kheee dalali umeshindwa kujidalalia😅😅😅Hello habari za kazi,najitokeza kwako nikiwa na shida ya kuunganishwa na mchumba
Umri wangu miaka 44 mkazi wa dar,baba wa mtoto 1
Mkristo
Mfanyabiashara
Mchumba awe na miaka 30-36
Anaweza tokea dini yoyote
Anaweza pia kuwa na watoto
Mwembamba asiejichubua ngozi
Awe dar au mikoa ya jirani kama pwani,moro,nk
Hahaha maadili hayaruhusu kufanya hivyoKheee dalali umeshindwa kujidalalia😅😅😅
😂😂😂😂 ProtocolHahaha maadili hayaruhusu kufanya hivyo
ee😂😂😂😂 Protocol
Nataka nikupe posho unifanyie kazi sasa
karibuNataka nikupe posho unifanyie kazi sasa
umefungisha ndoa ngapi mpaka sahii?NIMERUDI WAKUU
ni kudinyana tu mzee wanguumefungisha ndoa ngapi mpaka sahii?
Au ndo wanadinyana kila mmoja analala mbere😂
hahahaSasa wale wanaotafuta waangalie hao wengine wanaotafuta
Watu ni wasiri kujidai kujiongelesha kumbe ni wao wanaotafuta 😂😂
Ushaunganisha wangapi mpaka sasaHeshima kwenu nyote.
mods Ppz usiuunganishe huu uzi
Hivi karibuni niliwahi kuanzisha uzi hapa, na kwa wale ambao hawajauona nawashauri waupitie Udalali wa kuunganishia wanaume/wanawake wenza siku hizi umeshamiri sana mjini. Chanzo ni nini?. Kilichonishangaza ni idadi kubwa ya watu walionitumia ujumbe binafsi (PM) wakitaka niwaunganishie, jambo lililonionyesha wazi kuwa uhitaji huu ni mkubwa, hata ndani ya JF.
Kwa sababu hiyo, nimeamua kuanzisha uzi huu maalumu kwa ajili ya kuwasaidia wanaotafuta wachumba wa ndoa au wa kuishi pamoja kwa malengo ya kudumu. Uzi huu haujalenga mahusiano ya muda mfupi, ya kihuni, au ya kula na kuondoka, bali watu waliodhamiria maisha ya pamoja yenye heshima.
Kwa kuwa wapo ambao hawapendi kufahamika au wana wasiwasi kutumia ID zao hadharani, unaweza kunitumia PM ukinipa vigezo vyako vyote unavyovitaka kwa mwenza wako. Tafadhali usinitumie jina lako au utambulisho wako binafsi. Nitaweka taarifa hizo kwenye comment na nitaifanya kwa umakini sana na kulinda taarifa zako binafsi i bila kuvunja sheria na taratibu za JF.
Nitakuwa napost maombi haya kwenye comments, hivyo mwenye uhitaji anashauriwa kupitia kupitia comments mara kwa mara. Endapo mtakutana na mwenye sifa mnazotafuta, nitaunganisha pande husika kwa mawasiliano ya faragha.
Lengo ni kusaidiana Tu. MODS musiuunganishe na uzi mwingine huu hapa ni tofauti
wengi mkuu ila hapa katikati nilisitisha kutokana na changamoto kadhaa zilizojitokeza.Ushaunganisha wangapi mpaka sasa
wapo wengi kabisa wanawake ndio wachacheHivi ni kweli anaweza patikana mwanaume humu