Naona unafatilia Uzi kinoma 😅Nimefanyann mkuu😂
Niache mkuu nipo mawindoni🤓Naona unafatilia Uzi kinoma 😅
hii tayari ameshapata na wameshakutana na kumalizana wanavyojuaWazee hapa vipi
JINSIA: Me
UMRI: Miaka 45
WATOTO: Watoto wanne
HALI YA NDOA: Niliwahi kuoa, mke alifariki
KAZI: Mtumishi wa Umma
ELIMU: Degree
MAKAZI: Dar es Salaam / Dodoma
UMBO: Mfupi, mweusi
DINI: Mkristo Katoliki (RC)
NAMTAFUTA MKE:
UMRI: Kuanzia miaka 40
WATOTO: Awe na mtoto au asiwe naye (yote sawa)
RANGI: Mweupe
KAZI: Kama hana kazi itapendeza zaidi
ELIMU: Awe na ufahamu wa kutosha
tayari pia huyumwalimu hapa anatafuta mume
JINSIA:
Mwanamke
UMRI:
Miaka 36
KAZI:
Mwalimu dini (Mkristo)
MAHALI:
Naishi Iringa kwa sasa
KABILA:
Mkerewe
ELIMU:
Degree
pia nina mtoto mmoja sijawahi kuolewa
SIFA ZA MUME NINAYEMTAFUTA:
– Awe mrefu (na mimi ni mrefu)
– Awe mpole na mchamungu
– Umri kuanzia miaka 38
– Awe na kazi halali
– Awe na uwezo wa kuongoza familia
– Asiwe mkwepa majukumu
Tunaamini vipi?hii tayari ameshapata na wameshakutana na kumalizana wanavyojua
kwani nipo kukuaminisha au kukufurahisha? mimi nimesema tayari ili mtu asije akampenda aniulizieTunaamini vipi?
😄Tunaamini vipi?
Inategemea Ukweni ya wapi. Mud anakaa IkuluNisikilizeni mwanaume wa ukweli hakai ukweni
Panya wa ikulu hakai ghetto la msela.Inategemea Ukweni ya wapi. Mud anakaa Ikulu
umemtaka yupiMwanamke atakayekosa wakumchukua unishtue nimchukue.
Yeyote tu atakayekosa aje nimsitiri.umemtaka yupi
Jiongeze jizidishie miakaIlibaki kidogo yaan nipate mume dah😢
Daah mwaka mmoja sio mbayaYaan dah mwaka 1 tu umeninyima mpenzi
Ndoa hiyoooooooo nitaawalika mje kula birianiDaah mwaka mmoja sio mbaya
hahaNdoa hiyoooooooo nitaawalika mje kula biriani
😂😂😂😂😂Bomu la. vitunguu maji