Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Acha kuchokoza watu ๐๐๐๐๐๐
Acha kuchokoza watu ๐๐๐๐๐๐
Hapanaa mejii, ๐๐๐๐Acha kuchokoza watu ๐
Unamdinya?ukinogewa unavunjage mkataba? Na yeye akikuta mambo meusi inakuwaje๐๐๐Mimi nahitaji mke wa kuoa Kwa mkataba, mkataba wa miezi 6.
aseeNikipata mwenye umbo namba 8 nitafurahi sana. Aje tule maisha, sio kutafuta maisha
Ndio hivyo mkuu, maisha mafupi haya inabidi kutafuta furaha kwa juhudi zote.asee
safi sanaNdio hivyo mkuu, maisha mafupi haya inabidi kutafuta furaha kwa juhudi zote.
pitia pitia Coment kama kuna anayekufaaNdio hivyo mkuu, maisha mafupi haya inabidi kutafuta furaha kwa juhudi zote.
Naendelea kuangaza machopitia pitia Coment kama kuna anayekufaa
Mambo meusi ndio yapoje hayoUnamdinya?ukinogewa unavunjage mkataba? Na yeye akikuta mambo meusi inakuwaje๐๐๐
Mambo yasiyoeleweka๐๐Mambo meusi ndio yapoje hayo
Mhmm huwa najaribu kukutag sioni jina lako kabisa ,sijui whyMambo yasiyoeleweka๐๐
Nipo mbona labda ulikosea kuandika mwenyew huwa nasahau km jina lang lina aa mbili nilikuwa nahangaika kulog in muda si mrefu๐Mhmm huwa najaribu kukutag sioni jina lako kabisa ,sijui why