Wanaotafuta Utajiri wa Punje za Mahindi na Jogoo, Imekaaje Hii?

Ni kweli nautaka utajiri ila huo wa kufa mapema hapana
Unapewa miaka michache duniani kwa mkataba na shetani but unakua tajiri mkubwa Sana then baada ya mkataba kuisha unakwenda kuzimu kumtumikia shetani miaka yako yote hadi mda wako wa kufa ambao Mungu amekupangia ukifa mwili wako unaliwa nyama na wenzio waliokuzimu na nafsi yako ni motoni moja kwa moja.Unakwenda mbinguni kutokea duniani kulingana na matendo yako,ukienda kuzimu ni motoni direct Mungu hana kibali na wewe.Unatumika vipi kuzimu unaweza ukawa ajent yaani unatumwa duniani kuleta watu kwa shetani mfano,kuwaangusha watu wa Mungu watende dhambi,kusababisha ajali,magomvi mafarakano kwenye ndoa familia,nk.Kuzimu zipo Kazi nyingi plus kuteswa usiku na mchana kwa maana ulikula raha sasa ni mateso.
Shetani hana huruma kabisa na binadamu.Yafaa nini kupata vyote na ukaukosa uzima wa milele.Pili ukifa na utajiri wako unakufa aurithiki.
 
Kumbe pale ni kwa witch doctor.
Nilijiuliza sana vile vyoo ni vya nani , mbona havina charge yoyote na visafi
Hata Mimi nawaza kujenga vyoo vya kisasa kwenye chimba dawa zote lengo kuu ni kupata mbolea kwa ajili ya mashamba ya kahawa kwa ajili ya kuexport.
Mbolea namba moja kwa ubora ni ile izalishwayo na binadamu
 
Na walikuwa wanafanikiwa chief kutegua?
Hii unaweza kutegua kupitia Nguvu ya Jesus Christ na iwe imejaa mwilini mwako,maana huwezi mshinda shetani kama huna Mungu na hasa kama ulishakula chake, kumbuka hela ya shetani haiendi bure ni lazima irudi na damu.
 
Raha ya utajiri ni kula na kufurahia na ndugu, wazazi, familia,nk.Yafaa nini utajiri wa mateso hali unaweza kuwa tajiri bila kuuza nafsi yako kwa shetani.
Shetani kafanikiwa Sana kupandikiza mawazo machafu kwa watu kwamba huwezi fanikiwa bila dawa huu ni uongo mtupu na matumizi mabaya ya akili aliyokupa Mwenyezi Mungu.Maaana lengo kuu la idea hii ni kutengeneza utegemezi wa mawakala wa shetani Dunia waganga na washirikina lengo kuu la ndumba ni kupunguza uwezo wa kufikiri uache kutumia akili yako utumie akili zao.
 
Binadamu anachagua mwenyewe awe kwa Mungu au Shetani au awe kotekote
 
Nafikiri umeelezea vyema na kujijibu mwenyewe
Hivi kama nikimkamata huyo jogoo na kumlisha KWA nguvu vipi? Kitatokea nini?
 
[emoji848][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Utajiri huu wa punje alipewa yule Askofu tajiri wa madini akapata pesa akachanganyikiwa akapanda juu akawamwagia watu.Yupo kuzimu anatumika kwa shetani hadi mda wake utakapoisha.
Muongo mkubwa wewe,askofu ameishi miaka mingi Sana,unajua Parson imejengwa mwaka gani? amekuja kufariki kwa maradhi ya kiutu uzima tu.
 
Muongo mkubwa wewe,askofu ameishi miaka mingi Sana,unajua Parson imejengwa mwaka gani? amekuja kufariki kwa maradhi ya kiutu uzima tu.
Maradhi ya kiutu uzima ndo nn,huo utajiri amedumu nao miaka mingapi? Na je still huo utajiri bado upo?
 
Baada ya kutegua bado anaendelea na utajiri wake?
 
Naona hotel bado ipo hahahaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…