Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Hapana simjui vizur mkuu mm naamin zaid katika Mungu, ila huyo marasta nilisikia stori zake kutoka kwenye simulizi ya jamaa mmoja ambae alipata mali kwa njia za kishirikina badae akakosea masharti mali zikaanza kuteketea na last target ilikua ni yeye auliwe na hao majini waliompa mali akakosea masharti yao, anasema waganga wote walimkataa na wakashindwa kumsaidia ila mganga wa mwsho ndo akamuelekeza jamaa aelekee kigoma akamtafute huyo marasta ndo huko aliienda kusaidiwaMkuu kama unajua vyema em tule A,BC zake hapa jukwaani.
Yote ya yote ushirikina ni dhambi na inaangamiza