Wanaotafuta Utajiri wa Punje za Mahindi na Jogoo, Imekaaje Hii?

Huo utajiri wa punje waungwana bado upo,hasa hasa pia maeneo ya Sumbawanga,ila kwa ukanda huo wa Sumbawanga ni jogoo mmoja tu tena wa mganga ndiye uhusika katika kufunga mkataba wenu wa utajiri wa muda,na mara zote kadri adonoavyo punje chache zaidi ndivyo mhusika utakuwa na utajiri mkubwa mno kwa kipindi hicho kifupi zaidi kabla ya umauti kukufika.

Na huu ndio utajiri usio na lawama hata kwa ndugu sambamba na utajiri wa kuharibu uzazi wako ungali huna hata mtoto wa kusingiziwa,na utajiri wa donda ndugu/lisilopona,kwa kuwa utakuwa umeji~sucrifice mwenyewe kuliko utajiri wa kula wanao na nduguzo kila wakati
 
Haijawahi kutokea kula ata punje 10...wenye bahati 8-5...mganga Ni dalali ndio maana hukuti ampe ndugu yake utajiri wa hivo yeye anategemea ufanikiwe umpe fadhila...na Yule jogoo Ni jini ndio unaeingia nae mkataba...na ndo Mana akishakula punje anapotea ..akishapotea jua anakua mwilini mwa muhusika Sasa kumtimizia mahitaji yake ya utajiri..na ikifika siku huyohuyo ndo atamuondoa...that's why Kuna wahuni miaka ya nyuma walikua wanaenda kutegua kigoma hiyo ya deadline ya kufa...
Inawezekana Kutegua
 
Haya mambo yanafanyika sana Congo na West Africa hata Malawi na Msumbiji. Hapa Tanzania watu wanay-afanye kwa siri.

West Africa unaingia kwenye secret society na unaweka nadhiri. Chochote unachotaka unafanyiwa. Si biashara tu hata vyeo kazini.

Inabidi utoe kafara kila mwaka na kila unapofanikiwa jambo lako. Unaweza kukumkuta bwana mdogo ametoka chuoni juzi baada ya mwaka ni boss mkubwa kabisa.
Ngoja nifunge safari kwenda west africa na ndoto yangu n moja tuu niwe wazir wa umeme ili nipunguze tatizo sijui jogoo 👩‍💻atakula punje ngap
 
Secret Societies zipo nyingi na mojawapo ni Freemasonry. Hizi za West Africa nyingi ndiyo zilizo waongoza Wafalme katika utawala.

Hata Wakoloni kutawala bara la Afrika haikua rahisi. Wafalme walielekezwa mbinu za kupambana kutoka kwa mizimu.

Ninaamini Wazungu walitumia uchawi pia kuweza kututawala.
 
Imani yako iko sahihi. Nitakuja na Uzi siku Moja hapa
 
Huo utajiri wa punje waungwana bado upo,hasa hasa pia maeneo ya Sumbawanga,ila kwa ukanda huo wa Sumbawanga ni jogoo mmoja tu tena wa mganga ndiye uhusika katika kufunga mkataba wenu wa utajiri wa muda,na mara zote kadri adonoavyo punje chache zaidi ndivyo mhusika utakuwa na utajiri mkubwa mno kwa kipindi hicho kifupi zaidi kabla ya umauti kukufika.
Na huu ndio utajiri usio na lawama hata kwa ndugu sambamba na utajiri wa kuharibu uzazi wako ungali huna hata mtoto wa kusingiziwa,na utajiri wa donda ndugu/lisilopona,kwa kuwa utakuwa umeji~sucrifice mwenyewe kuliko utajiri wa kula wanao na nduguzo kila wakati
Yeaaah hata kwetu upo huu pia, jogoo n m1 tyuuh wa mganga.
 
Back
Top Bottom