wanaotafuta wachumba wa ukweli hawa hapa

wanaotafuta wachumba wa ukweli hawa hapa

Mm ni kijana ambaye Mungu Mwenyezi kanibariki katika maisha hela ya kutafuta mboga haipigi chena nimemaliza chuo kikuu plus elimu nyingine ya juu,katika mahusiano nilishapita kwingi na kuwa na wachumba ambao hatimae wlikuja niumiza na kusema hata kuoa sitaki tena kwa kipindi kirefu kidogo madada wa mjini kama ujuavyo wapo kimasilahi zaidi ya upendo nikawa naomba Mungu anipatie msichana wa kufanana nami awe mke wangu,Baada ya muda nilirudi kijiji kwenda kutafuta mke kiukweli nashukuru nilipata mke tena nasema mke ni mrembo mzuri ana ucha Mungu na isitoshe nilimkuta bikra kwa hiyo vijana wenzangu madada wa mjini tuachane nao au tuwe makini nao ila ujue mke wa ukweli wapo kijiji na tusiwadharau wazee wetu wakati wa kuoa ni vyema ukawataarifu nao wanaweza kukupatia mke mwema pia,ila turudi vijijini mwetu kuna wanawake wenye heshima na wazuri.Happy new year all ladies and Gents

Duh kaka umeliwa!!! hakuna jambo baya kama mtu kujifunza jambo ukubwani! mkeo akipata mwalimu huyo hutakaa umshike atalimbuka na mji, atalimbuka na wanaume wengine, atalimbuka na kila kitu! jogoo la shamba haliwiki mjini na likiamua kuwika hapalaliki! utakuja kutuambia siku moja yakisha kukulia makubwa!
 
Kaka HONGERA SANA,SANA,
Unajua bwana watu wanajifariji ooh ukimleta mjini atalipuka,noo,aaa wapi,kama mungu amekupangia THANKS TO HIM,WA MJINI WENGI NI UMIZA KICHWA KAKA,TENA UMPATE WA KINONDONI AHHH,Acha bwana.
hawa wadada wa Dar bwana wana akili wanazozijua wao tu,hatuangalii anapendezaje kitu heshima bwana,
 
Mm ni kijana ambaye Mungu Mwenyezi kanibariki katika maisha hela ya kutafuta mboga haipigi chena nimemaliza chuo kikuu plus elimu nyingine ya juu,katika mahusiano nilishapita kwingi na kuwa na wachumba ambao hatimae wlikuja niumiza na kusema hata kuoa sitaki tena kwa kipindi kirefu kidogo madada wa mjini kama ujuavyo wapo kimasilahi zaidi ya upendo nikawa naomba Mungu anipatie msichana wa kufanana nami awe mke wangu,Baada ya muda nilirudi kijiji kwenda kutafuta mke kiukweli nashukuru nilipata mke tena nasema mke ni mrembo mzuri ana ucha Mungu na isitoshe nilimkuta bikra kwa hiyo vijana wenzangu madada wa mjini tuachane nao au tuwe makini nao ila ujue mke wa ukweli wapo kijiji na tusiwadharau wazee wetu wakati wa kuoa ni vyema ukawataarifu nao wanaweza kukupatia mke mwema pia,ila turudi vijijini mwetu kuna wanawake wenye heshima na wazuri.Happy new year all ladies and Gents

we vipi afu si wa mjini tukabanane na shemeji zake Natalia au unamaanisha nini
 
Hahahah zubeda kaletwa town ngoja aanze timbwili, anza kumsopsop na kumpa maujanja ya mujin asije kukuaibisha kwa rafikizo wakija homu!!

watu wa baya hiyo dedication daah
 
Hongera sana kaka!! ila wanawake wengi wamekupinga coz ukweli unauma, hapa mjini hamna wanawake ni Gold digger tu!!
 
Huku kijijini pia sabuni za limao maarufu kama KAISIKI zipo! Mabinti wananawa kwenye k na kitu kinarejea kama mwanzo, bikira ni rahisi kui-repair!
 
Bado sijaona kama huyo wa kijijini ndio suluhisho..upande wako Mungu akikujaalia sawa..lakini bado ni mapema mno!
Mwanamke akijitunza na kuwa na adabu zake anaolewa tu hata akiwa Marekani, na akiwa kimeo hata akiwa kijijini taabu tupu!..
 
hapana kurudi kijiji siyo tija bali maombi ndiyo yamefanya kazi naomba uendelee kuomba ukiacha tu,ndege wako atua kwa simba mwitu wa hapa mjini
 
we jamaa vipi unaifaham nyimbo ya prof j nikusaidieje?...vipi watu tuliozalizwa mjini yani babu, bibi wote wanatoka mjini mf Dar..tuende wapi jombaa elewa mapenzi hayana formular usione kisa yamekukalia sawa na mke wako wa huko kijijini ndo ukajua hiyo ndo solution..halafu sio wote tunatokea vijijini....ova...
 
Kumbuka wimbo wa usije mjini wa mwana fa.....tafakari chukua hatua..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ha ha ha haa, wadada wa mujini wamekereka sana na huu uzi..!!!
 
Hongera sana kaka!! ila wanawake wengi wamekupinga coz ukweli unauma, hapa mjini hamna wanawake ni Gold digger tu!!
balaa. hawa madem watown hamna kitu, kazi yao kwenda salon na kuweka lipstick. maadili sifuri, kazi kupiga mizinga... hopeless.
 
Back
Top Bottom