Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,435
Sasa ndio umeandika kitu gani hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Preta, niko Arusha, u wapi wewe nikuvike pete ya uchumba?
khaaa....jamani jamani....mimi huyu huyuu.....?
Mm ni kijana ambaye Mungu Mwenyezi kanibariki katika maisha hela ya kutafuta mboga haipigi chena nimemaliza chuo kikuu plus elimu nyingine ya juu,katika mahusiano nilishapita kwingi na kuwa na wachumba ambao hatimae wlikuja niumiza na kusema hata kuoa sitaki tena kwa kipindi kirefu kidogo madada wa mjini kama ujuavyo wapo kimasilahi zaidi ya upendo nikawa naomba Mungu anipatie msichana wa kufanana nami awe mke wangu,Baada ya muda nilirudi kijiji kwenda kutafuta mke kiukweli nashukuru nilipata mke tena nasema mke ni mrembo mzuri ana ucha Mungu na isitoshe nilimkuta bikra kwa hiyo vijana wenzangu madada wa mjini tuachane nao au tuwe makini nao ila ujue mke wa ukweli wapo kijiji na tusiwadharau wazee wetu wakati wa kuoa ni vyema ukawataarifu nao wanaweza kukupatia mke mwema pia,ila turudi vijijini mwetu kuna wanawake wenye heshima na wazuri.Happy new year all ladies and Gents

Hahahah zubeda kaletwa town ngoja aanze timbwili, anza kumsopsop na kumpa maujanja ya mujin asije kukuaibisha kwa rafikizo wakija homu!!
Usidharau NAZI....EMBE tunda la msimu!!!
me kanikera kwelikweli
balaa. hawa madem watown hamna kitu, kazi yao kwenda salon na kuweka lipstick. maadili sifuri, kazi kupiga mizinga... hopeless.Hongera sana kaka!! ila wanawake wengi wamekupinga coz ukweli unauma, hapa mjini hamna wanawake ni Gold digger tu!!