wanaotafuta wachumba wa ukweli hawa hapa

wanaotafuta wachumba wa ukweli hawa hapa

Mkuu Hongera sana kama wewe ulibahatika, Nadhani ndio Mungu alikujibu hivyo WEWE, ila kusema wake wako vijijini au mijini sio sahihi mkuu. Mi nadhani tuendelee kuomba kama wewe ulivyoomba Mungu naye atatujibu kwa namna yake, kama ni kijijini sawa, mjini sawa, nje ya nchi sawa.

Maneno ya hekima yanasema:-
''Mithali 19 : 14 - Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana''
umenikuna kweli ulivyonukuu huu mstari
 
Mm ni kijana ambaye Mungu Mwenyezi kanibariki katika maisha hela ya kutafuta mboga haipigi chena nimemaliza chuo kikuu plus elimu nyingine ya juu,katika mahusiano nilishapita kwingi na kuwa na wachumba ambao hatimae wlikuja niumiza na kusema hata kuoa sitaki tena kwa kipindi kirefu kidogo madada wa mjini kama ujuavyo wapo kimasilahi zaidi ya upendo nikawa naomba Mungu anipatie msichana wa kufanana nami awe mke wangu,Baada ya muda nilirudi kijiji kwenda kutafuta mke kiukweli nashukuru nilipata mke tena nasema mke ni mrembo mzuri ana ucha Mungu na isitoshe nilimkuta bikra kwa hiyo vijana wenzangu madada wa mjini tuachane nao au tuwe makini nao ila ujue mke wa ukweli wapo kijiji na tusiwadharau wazee wetu wakati wa kuoa ni vyema ukawataarifu nao wanaweza kukupatia mke mwema pia,ila turudi vijijini mwetu kuna wanawake wenye heshima na wazuri.Happy new year all ladies and Gents
Ngoja nitafute nauli nirudi kijijini kwa muda!!!
 
Sema umetafuta ambaye hajaenda shule. Maana kwa sisi tunaohitaji wasomi, h.ta kama katoka kijijini lazima amefika mjini.
 
hahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! tutakoma na hawa wanawake! Lol!
 
mkuu hongera sana kama wewe ulibahatika, nadhani ndio mungu alikujibu hivyo wewe, ila kusema wake wako vijijini au mijini sio sahihi mkuu. Mi nadhani tuendelee kuomba kama wewe ulivyoomba mungu naye atatujibu kwa namna yake, kama ni kijijini sawa, mjini sawa, nje ya nchi sawa.

Maneno ya hekima yanasema:-
''mithali 19 : 14 - nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; bali mke mwenye busara, mtu hupewa na bwana''

this is perfect.
 
Mjini mtoto wa miaka 12 hana bikra hii hatari nimeenda kigoma nmekuta bikra kibao
 
Back
Top Bottom