Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Acha ujinga, bikra utakuwa wewe?Hata mjini mabikra tupo!!!!!
hungera kwa kupata muke, ila mjini shule shamba kilimo!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga, bikra utakuwa wewe?Hata mjini mabikra tupo!!!!!
hungera kwa kupata muke, ila mjini shule shamba kilimo!!!!!
Una maanisha nini mkuu?Usidharau NAZI....EMBE tunda la msimu!!!
Acha ujinga, bikra utakuwa wewe?
Usijitie kunijua uliitoa wewe...
Labda alishika mguu napengine alikua mhudumu wa guest
umenikuna kweli ulivyonukuu huu mstariMkuu Hongera sana kama wewe ulibahatika, Nadhani ndio Mungu alikujibu hivyo WEWE, ila kusema wake wako vijijini au mijini sio sahihi mkuu. Mi nadhani tuendelee kuomba kama wewe ulivyoomba Mungu naye atatujibu kwa namna yake, kama ni kijijini sawa, mjini sawa, nje ya nchi sawa.
Maneno ya hekima yanasema:-
''Mithali 19 : 14 - Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana''
Ngoja nitafute nauli nirudi kijijini kwa muda!!!Mm ni kijana ambaye Mungu Mwenyezi kanibariki katika maisha hela ya kutafuta mboga haipigi chena nimemaliza chuo kikuu plus elimu nyingine ya juu,katika mahusiano nilishapita kwingi na kuwa na wachumba ambao hatimae wlikuja niumiza na kusema hata kuoa sitaki tena kwa kipindi kirefu kidogo madada wa mjini kama ujuavyo wapo kimasilahi zaidi ya upendo nikawa naomba Mungu anipatie msichana wa kufanana nami awe mke wangu,Baada ya muda nilirudi kijiji kwenda kutafuta mke kiukweli nashukuru nilipata mke tena nasema mke ni mrembo mzuri ana ucha Mungu na isitoshe nilimkuta bikra kwa hiyo vijana wenzangu madada wa mjini tuachane nao au tuwe makini nao ila ujue mke wa ukweli wapo kijiji na tusiwadharau wazee wetu wakati wa kuoa ni vyema ukawataarifu nao wanaweza kukupatia mke mwema pia,ila turudi vijijini mwetu kuna wanawake wenye heshima na wazuri.Happy new year all ladies and Gents
Mm ni kijana ambaye Mungu Mwenyezi kanibariki katika maisha hela ya kutafuta mboga haipigi chena nimemaliza chuo kikuu plus elimu nyingine ya juu,katika mahusiano nilishapita kwingi na kuwa na wachumba ambao hatimae wlikuja niumiza na kusema hata kuoa sitaki tena kwa kipindi kirefu kidogo madada wa mjini kama ujuavyo wapo kimasilahi zaidi ya upendo nikawa naomba Mungu anipatie msichana wa kufanana nami awe mke wangu,Baada ya muda nilirudi kijiji kwenda kutafuta mke kiukweli nashukuru nilipata mke tena nasema mke ni mrembo mzuri ana ucha Mungu na isitoshe nilimkuta bikra kwa hiyo vijana wenzangu madada wa mjini tuachane nao au tuwe makini nao ila ujue mke wa ukweli wapo kijiji na tusiwadharau wazee wetu wakati wa kuoa ni vyema ukawataarifu nao wanaweza kukupatia mke mwema pia,ila turudi vijijini mwetu kuna wanawake wenye heshima na wazuri.Happy new year all ladies and Gents
Ha ha ha haa, wadada wa mujini wamekereka sana na huu uzi..!!!
balaa. hawa madem watown hamna kitu, kazi yao kwenda salon na kuweka lipstick. maadili sifuri, kazi kupiga mizinga... hopeless.
mkuu hongera sana kama wewe ulibahatika, nadhani ndio mungu alikujibu hivyo wewe, ila kusema wake wako vijijini au mijini sio sahihi mkuu. Mi nadhani tuendelee kuomba kama wewe ulivyoomba mungu naye atatujibu kwa namna yake, kama ni kijijini sawa, mjini sawa, nje ya nchi sawa.
Maneno ya hekima yanasema:-
''mithali 19 : 14 - nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; bali mke mwenye busara, mtu hupewa na bwana''
Mjini mtoto wa miaka 12 hana bikra hii hatari nimeenda kigoma nmekuta bikra kibao