Chale plus ramli na mitishamba ni vitu viwili tofautiMaadam tumeamua kwa kauli moja kuirejesha nchi yetu kwenye zama za mawe na ujima ( God must be crazy ) , basi ni vema tukaruhusu na msingi mkubwa wa miti shamba hiyo ambao ni uchawi na ushirikina , ramli na kupigana Chale .
Hii itasaidia wachawi wengi wa Sumbawanga na kwingineko nchi nzima kujitokeza kizalendo ili kusaidiana na viongozi wa nchi yetu katika kutokomeza corona .
Mungu ibariki Tanzania
Nakala : Mshana Jr
hauna akili, ni mtumwa wa fikira za kizungu. Ngoja niendelee kugonga mwarobaini wangu hapa.Maadam tumeamua kwa kauli moja kuirejesha nchi yetu kwenye zama za mawe na ujima ( God must be crazy ) , basi ni vema tukaruhusu na msingi mkubwa wa miti shamba hiyo ambao ni uchawi na ushirikina , ramli na kupigana Chale .
Hii itasaidia wachawi wengi wa Sumbawanga na kwingineko nchi nzima kujitokeza kizalendo ili kusaidiana na viongozi wa nchi yetu katika kutokomeza corona .
Mungu ibariki Tanzania
Nakala : Mshana Jr
Mungu wabariki wazunguhauna akili, ni mtumwa wa fikira za kizungu. Ngoja niendelee kugonga mwarobaini wangu hapa.
Mataga kimya wapo kulogana tu kutafuta vyeoMaadam tumeamua kwa kauli moja kuirejesha nchi yetu kwenye zama za mawe na ujima ( God must be crazy ) , basi ni vema tukaruhusu na msingi mkubwa wa miti shamba hiyo ambao ni uchawi na ushirikina , ramli na kupigana Chale .
Hii itasaidia wachawi wengi wa Sumbawanga na kwingineko nchi nzima kujitokeza kizalendo ili kusaidiana na viongozi wa nchi yetu katika kutokomeza corona .
Mungu ibariki Tanzania
Nakala : Mshana Jr
Balaa kubwa ! Tunaishukuru sana serikali kwa kuruhusu tiba hizi kuingizwa MuhimbiliMataga kimya wapo kulogana tu kutafuta vyeo