Mnyatiaji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 3,728
- 4,817
Chale plus ramli na mitishamba ni vitu viwili tofautiMaadam tumeamua kwa kauli moja kuirejesha nchi yetu kwenye zama za mawe na ujima ( God must be crazy ) , basi ni vema tukaruhusu na msingi mkubwa wa miti shamba hiyo ambao ni uchawi na ushirikina , ramli na kupigana Chale .
Hii itasaidia wachawi wengi wa Sumbawanga na kwingineko nchi nzima kujitokeza kizalendo ili kusaidiana na viongozi wa nchi yetu katika kutokomeza corona .
Mungu ibariki Tanzania
Nakala : Mshana Jr