Katibu Afya
Member
- Sep 22, 2014
- 56
- 20
- Thread starter
-
- #41
Tatizo mnaangalia mlipoangukia,mmesahau sehemu mlipotoka,si mlikuwa mnashangiliwa mmefaulu wengi,
siri iliyojificha ni kwamba serikali ilitaka sifa ya big result now,mpango wa kutoa matokeo mazuri,hii ina maana mwaka huu vijana mmefaulu wengi mno,mfano mdogo tu mwaka jana waliopata div 1 walikuwa 365 mwaka huu 1365, na ukiangalia mwaka jana walioomba mkopo approximately around elf 30 kati ya hao waliopata ni elfu 28 but mwaka huu mlioomba approximately 50 na waliopata ni approximately sawa na mwaka jana
mimi ni mhanga mkuu.
nilikuwa nimechaguliwa kujiunga na chuo cha MUST ktk Bsc.in MECHANICAL ENGINEERING. lakini cha kushangaza nimekosa mkopo kwa kigezo cha kwamba nimekaa zaidi ya miaka mitatu toka nimalize diploma yangu. cha ajabu kuna watu wamehitimu miaka ya 90 na wamepata mkopo tena kwa 100%.
NDOTO ZANGU ZA KUWA MHANDISI KAMILI CCM WAMEZIUA.
kwa hiyo unalaumu kwa nini wanafunzi wamefaulu wengi?
miaka hyo mitatu ulikuwa wapi? namaanisha kazini au? ila nakushauri kama vip kakomae mwaka wa kwanza halafu mwakani uapply utapata mkopo bila tatizo! maana nna mifano halisi
dah hadi chozi limenitoka poleni sana mkuu MUNGU awasimamie..yani dogo langu alikuwa muhanga wa not selected due to compttn then akaaply bsc in chem unvst f bgmy ili aje afanye transfer,mambo sio mambo dogo kafanya transfer aende bugando coz sifa anazo tatzo lnakuja mkopo wake ushapelekwa bagamoyo hv kunakupona kwel hapa au ndo ajpange tena kwa ajl ya mwakani???..lengo lake awe mfamasia sas hz tcu&heslb ndo vkwaz0
vijana wote walioandika kuchangia topic hii nimewasoma kwa uchungu sana. Haya ni makosa tuliyofanya baba zenu,mama zenu na kaka/dada zenu. Kwa nini ninasema hivyo? Sisi ndio pamoja na kuona kuwa katika zaidi ya miaka 10 iliyopita ccm imekuwa ni chama cha ulaghai na kisichokuwa na vipaumbele pia kujali wanyonge sie tukakirudisha madarakani ili kifanye mambo yaleyale na watu walewale huku tukitegemea matokeo tofauti.
Matokeo yaliyojiri ni mateso munayopata vijana wetu kwa eitha kushindwa kujiunga na elimu ya juu kabisa au kusoma katika hali ya mateso na kudhalilika utu wenu.
Rai yangu ni kuwa msirudie makosa yetu, la kwanza mutusamehe kwa tuliyotenda ila pili muhakikishe ccm hairudi kuongoza nchi hii for the sake of your brothers and sisters. Na pengine kwa watoto wenu hapo baadae.
Uwezo wa kuhamasisha kuwa hairudi mnao (tena mkisukumwa na dhamira) na vijana na wazee watawaelewa. Msikubali kukaa pembeni na kusema "bora liende" ni sawa na kumwachia fisi bucha ukidhani unamkomoa. Lazima mhakikishe waliowatesa leo wanajuta kwa nini waliwadharao ifikapo kesho.
nimekuelewa mkuusilaumu kwa nini mmefaulu wengi ila nawakumbusha wapi kosa limetendeka, yaan serikali kutaka kujisafisha na big result now wakasahau kuwa hao wanaowafaulisha kuwa watataka pesa ya kujiendeleza. natumaini umenielewa ni mawazo yangu tu siyo msaafu!
daaah inaumiza saana, nimesomeshwa na gvt tangu o.level hadi A.level, coz wazazi wangu walifariki nikiwa std 6, niliscore vzr sana div one olever na div one 6, nituma maombi bodi na tcu education, but mkopo nil, nikakorespond mwaka, kutokana na stress kubwa niliyoipata nilisumbuliwa na ugonjwa fulani uliodumu kwa miaka 2, nimeomba tena mwaka huu education, mkopo not secured reason, eti nimekaa mda mrefu nyumbani, kuna watu wamemaliza 2004 mkopo wamepata sembuse mm, mpaka sasa nalelewa na kaka yangu ambaye kiufupi ana maisha ya ufukara, cjui hata nifanyaje, ndoto zangu zinayeyushwa na serikali yangu it was better to leave the school since ma parents passed away than to study hard with hopeless future lyf, i ril hurted, and regret to be born in tanzania, my b i was in kenya or uganda i could fulfil my dreams,
Pesa za kupeleka Kila form 6 kwa mujibu wa sheria wanazo
Hii nchi hii aisee
Baba ako!!Brn...!!