Katibu Afya
Member
- Sep 22, 2014
- 56
- 20
- Thread starter
- #41
Tatizo mnaangalia mlipoangukia,mmesahau sehemu mlipotoka,si mlikuwa mnashangiliwa mmefaulu wengi,
siri iliyojificha ni kwamba serikali ilitaka sifa ya big result now,mpango wa kutoa matokeo mazuri,hii ina maana mwaka huu vijana mmefaulu wengi mno,mfano mdogo tu mwaka jana waliopata div 1 walikuwa 365 mwaka huu 1365, na ukiangalia mwaka jana walioomba mkopo approximately around elf 30 kati ya hao waliopata ni elfu 28 but mwaka huu mlioomba approximately 50 na waliopata ni approximately sawa na mwaka jana
kwa hiyo unalaumu kwa nini wanafunzi wamefaulu wengi?