Wanaotaka kuandamana kesho HESLB soma hapa

Wanaotaka kuandamana kesho HESLB soma hapa

Tatizo mnaangalia mlipoangukia,mmesahau sehemu mlipotoka,si mlikuwa mnashangiliwa mmefaulu wengi,
siri iliyojificha ni kwamba serikali ilitaka sifa ya big result now,mpango wa kutoa matokeo mazuri,hii ina maana mwaka huu vijana mmefaulu wengi mno,mfano mdogo tu mwaka jana waliopata div 1 walikuwa 365 mwaka huu 1365, na ukiangalia mwaka jana walioomba mkopo approximately around elf 30 kati ya hao waliopata ni elfu 28 but mwaka huu mlioomba approximately 50 na waliopata ni approximately sawa na mwaka jana

kwa hiyo unalaumu kwa nini wanafunzi wamefaulu wengi?
 
mimi ni mhanga mkuu.

nilikuwa nimechaguliwa kujiunga na chuo cha MUST ktk Bsc.in MECHANICAL ENGINEERING. lakini cha kushangaza nimekosa mkopo kwa kigezo cha kwamba nimekaa zaidi ya miaka mitatu toka nimalize diploma yangu. cha ajabu kuna watu wamehitimu miaka ya 90 na wamepata mkopo tena kwa 100%.

NDOTO ZANGU ZA KUWA MHANDISI KAMILI CCM WAMEZIUA.
 
mimi ni mhanga mkuu.

nilikuwa nimechaguliwa kujiunga na chuo cha MUST ktk Bsc.in MECHANICAL ENGINEERING. lakini cha kushangaza nimekosa mkopo kwa kigezo cha kwamba nimekaa zaidi ya miaka mitatu toka nimalize diploma yangu. cha ajabu kuna watu wamehitimu miaka ya 90 na wamepata mkopo tena kwa 100%.

NDOTO ZANGU ZA KUWA MHANDISI KAMILI CCM WAMEZIUA.

miaka hyo mitatu ulikuwa wapi? namaanisha kazini au? ila nakushauri kama vip kakomae mwaka wa kwanza halafu mwakani uapply utapata mkopo bila tatizo! maana nna mifano halisi
 
kwa hiyo unalaumu kwa nini wanafunzi wamefaulu wengi?

silaumu kwa nini mmefaulu wengi ila nawakumbusha wapi kosa limetendeka, yaan serikali kutaka kujisafisha na big result now wakasahau kuwa hao wanaowafaulisha kuwa watataka pesa ya kujiendeleza. natumaini umenielewa ni mawazo yangu tu siyo msaafu!
 
miaka hyo mitatu ulikuwa wapi? namaanisha kazini au? ila nakushauri kama vip kakomae mwaka wa kwanza halafu mwakani uapply utapata mkopo bila tatizo! maana nna mifano halisi

mkuu kuna changamoto za kufanya mtu usiunge moja kwa moja. binafsi mimi nimehitimu diploma yangu 2011 na toka nihitimu nilikosa hata kazi na kile nilichokuwa nakipta kilikuwa kinaishia kinywani na kujikuta nakosa hata pesa ya kuapply kama ujuavyo ni zaidi ya laki moja na nusu kuomba chuo na mkopo.

kama hicho ni kigezo cha kunifanya nikosekopo. je hao waliohitimu miaka ya 90 wametumia kigezo gani kuwapa mkopo?
 
dah hadi chozi limenitoka poleni sana mkuu MUNGU awasimamie..yani dogo langu alikuwa muhanga wa not selected due to compttn then akaaply bsc in chem unvst f bgmy ili aje afanye transfer,mambo sio mambo dogo kafanya transfer aende bugando coz sifa anazo tatzo lnakuja mkopo wake ushapelekwa bagamoyo hv kunakupona kwel hapa au ndo ajpange tena kwa ajl ya mwakani???..lengo lake awe mfamasia sas hz tcu&heslb ndo vkwaz0

Si ulisema anaenda kusoma Nursing CUHAS au??
 
Vijana wote walioandika kuchangia topic hii nimewasoma kwa uchungu sana. Haya ni makosa tuliyofanya Baba zenu,mama zenu na kaka/dada zenu. Kwa nini ninasema hivyo? Sisi ndio pamoja na kuona kuwa katika zaidi ya miaka 10 iliyopita CCM imekuwa ni chama cha ulaghai na kisichokuwa na vipaumbele pia kujali wanyonge sie tukakirudisha madarakani ili kifanye mambo yaleyale na watu walewale huku tukitegemea matokeo tofauti.
Matokeo yaliyojiri ni mateso munayopata vijana wetu kwa eitha kushindwa kujiunga na Elimu ya juu kabisa au kusoma katika hali ya mateso na kudhalilika utu wenu.
Rai yangu ni kuwa msirudie makosa yetu, la kwanza mutusamehe kwa tuliyotenda ila pili muhakikishe CCM hairudi kuongoza nchi hii for the sake of your brothers and sisters. Na pengine kwa watoto wenu hapo baadae.
Uwezo wa kuhamasisha kuwa hairudi mnao (tena mkisukumwa na dhamira) na vijana na wazee watawaelewa. Msikubali kukaa pembeni na kusema "bora liende" ni sawa na kumwachia Fisi bucha ukidhani unamkomoa. Lazima mhakikishe waliowatesa leo wanajuta kwa nini waliwadharao ifikapo kesho.
 
vijana wote walioandika kuchangia topic hii nimewasoma kwa uchungu sana. Haya ni makosa tuliyofanya baba zenu,mama zenu na kaka/dada zenu. Kwa nini ninasema hivyo? Sisi ndio pamoja na kuona kuwa katika zaidi ya miaka 10 iliyopita ccm imekuwa ni chama cha ulaghai na kisichokuwa na vipaumbele pia kujali wanyonge sie tukakirudisha madarakani ili kifanye mambo yaleyale na watu walewale huku tukitegemea matokeo tofauti.
Matokeo yaliyojiri ni mateso munayopata vijana wetu kwa eitha kushindwa kujiunga na elimu ya juu kabisa au kusoma katika hali ya mateso na kudhalilika utu wenu.
Rai yangu ni kuwa msirudie makosa yetu, la kwanza mutusamehe kwa tuliyotenda ila pili muhakikishe ccm hairudi kuongoza nchi hii for the sake of your brothers and sisters. Na pengine kwa watoto wenu hapo baadae.
Uwezo wa kuhamasisha kuwa hairudi mnao (tena mkisukumwa na dhamira) na vijana na wazee watawaelewa. Msikubali kukaa pembeni na kusema "bora liende" ni sawa na kumwachia fisi bucha ukidhani unamkomoa. Lazima mhakikishe waliowatesa leo wanajuta kwa nini waliwadharao ifikapo kesho.

tukutani 2015
 
silaumu kwa nini mmefaulu wengi ila nawakumbusha wapi kosa limetendeka, yaan serikali kutaka kujisafisha na big result now wakasahau kuwa hao wanaowafaulisha kuwa watataka pesa ya kujiendeleza. natumaini umenielewa ni mawazo yangu tu siyo msaafu!
nimekuelewa mkuu
 
Poleni sana wajomba hapo juu nimepitia hayo maisha ya kusoma bila mkopo alafu huna wazazi na bado Naishi hivyo ila najaribu kuzoea kwa sababu ndo maisha niliyo chaguliwa na mungu
 
Kaka kwanza poleni sana kwani maisha ya chuo c mchezo kwa sisi tuliyipita miaka hiyo kidogo,mimi nilishangaa sana vigezo ambavyo vilitumika kwani wengi waliyopata baadhi yao hawakustahili na waliyonyimwa kwa vigezo kiufalme jua ndiyo hasa baadhi ambao ni wengi walistahili kupata,kweli nchi hii tuna inproductive head of department abd leaders kwani badala ya kutoa asilimia hata 50% au laah ili kila sons of peasant wapate fruit of what they deserve unatoa asilimia mia kwa mtanzania mmoja ndiyo mana hatuwezi hata kusimamia maamuzi magumu kwa maendeleo ya baadaye kwani HESLB inakuwa kama mifugo ya waanyakazi basi badala ya kukata kodi ya wafanyakazi na kupeleka kwenye kazi zingine ipelekwe moja kwa moja kwa HESLB ili kila mwanafunzi apate kidogo kwa maendeleo ya badaye.
 
Mungu awatie nguvu kwani najua ipo siku utafika hapo unapotaka kufika kazi shida kupata mikopo nayo shida ni bora kazi ikawa ngumu lakini watanzania wakapata elimu nzuri na kwa wakati sahihi ili kuweza kukomboa nch katika nyanja mbalimbali cjapenda loan board walichowafanyia watanzania wenzangu kabisaa
 
Dah!.. Mkuu umefanywa hadi nitokwe na machozi kwa uchungu na huruma nying!. "Ee mwenyez Mungu ingilia kati swala hili"
 
Kilichobak ni kuwakaushia tyu kwan ukizingua sana unasaulika ndo dunia ye2 hyo
 
daaah inaumiza saana, nimesomeshwa na gvt tangu o.level hadi A.level, coz wazazi wangu walifariki nikiwa std 6, niliscore vzr sana div one olever na div one 6, nituma maombi bodi na tcu education, but mkopo nil, nikakorespond mwaka, kutokana na stress kubwa niliyoipata nilisumbuliwa na ugonjwa fulani uliodumu kwa miaka 2, nimeomba tena mwaka huu education, mkopo not secured reason, eti nimekaa mda mrefu nyumbani, kuna watu wamemaliza 2004 mkopo wamepata sembuse mm, mpaka sasa nalelewa na kaka yangu ambaye kiufupi ana maisha ya ufukara, cjui hata nifanyaje, ndoto zangu zinayeyushwa na serikali yangu it was better to leave the school since ma parents passed away than to study hard with hopeless future lyf, i ril hurted, and regret to be born in tanzania, my b i was in kenya or uganda i could fulfil my dreams,

Nimejikuta machoz yananitoka maana situation uliyonayo ndo ya kwangu,mzaz wangu wa mwisho kufariki ni 1998,na nimesoma government mwanzo mwisho then unapewa not secured wakati Deo Sanga anakula 300000 kwa kukata mauno bungeni inaumiza sana,frustration km hiz hata Al Shabab wakikurecruit uihujum nchi unakubalo maana unaichukia serikali na nchi yako
 
muda mnaohangaikia mtaujutia. wachache wana maslahi yao hapo we hujielewi unajipeleka tu! bora hata huo muda unaopoteza ungeenda LAPF ukaombe mkopo huko. rais kusema kuwa mtapata mikopo si tu kupitia heslb bali pia hata katika taasisi kama hzo. kumbukeni kuna wazaz wanakosa huduma za afya na wazee wanaokufa kwa kukosa matibabu huku kuna wengne wanadai pensheni na watoto wa chini ya miaka mitano wanaohitaji huduma. fikirieni mara mbili sio kukurupuka kuandamana. mawazo ya kuandamana huwa yanachochewa na watu wachache ambao wakat mnaandamana wao hawapo. kama nimekuudhi nisamehe ila huu ndo ukwel. ukijib ovyo ntakujib ovyo mana kuna watu wanatutaftia sana ban. asubuh njema
 
Yaani, we acha tu, - kuzungusha moto (mwenge) nchi nzima pesa ipo -mambo mengi ya nchi hii yanashangaza na kutia uchungu sana.
Pesa za kupeleka Kila form 6 kwa mujibu wa sheria wanazo
Hii nchi hii aisee
 
Back
Top Bottom