Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Duh aisee ule mziki wa cpa sijawahi ona, ulinipeleka mchaka mchaka mno hata nikiunganisha msuli wa form 6 na degree bado haifiki hata nusu.

Sitting ya kwanza nilifanya May huku nimelipia tuition centre / review classes, nikitoka kazini naenda centre huku nimechoka balaa, kwa misifa nilichukua masomo 6, aisee nlikula za ovyoo ovyo usoni nikafaulu somo moja tu la B6 (hili somo jepesi kuzidi yote ni kama civics), nilitamani kulia!!,
Aiseeeh this is very interesting....hadi nimeogopa[emoji1]
 
Nimeshaanza kusoma wakuu, nimeanzia foundation level ila nimepata exemption of 4 subjects out 6, so ntafanyia mtihani masomo 2.

Naomba kufahamu hii exemption unapewa kama umemaliza chuo baaada ya muda gani?

Je kama ulisoma miaka 5 au 10 nyuma wanakupa? maana mimi walininyima na nimesoma accounts undergraduate, wanaangalia nini hasa?

Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
 
Naomba kufahamu hii exemption unapewa kama umemaliza chuo baaada ya muda gani? Je kama ulisoma miaka 5 au 10 nyuma wanakupa? maana mimi walininyima na nimesoma accounts undergraduate...wanaangalia nini hasa?

Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
Nnavyojua mimi ni ndani ya miaka 5 mkuu, ila zaidi ya hapo unafanya mitihani yote mkuu maana wanasema ni kama utakua umesahau vitu vingi ndiyo maana wanataka uanzie chini. So umeshaanza kusoma?
 
Wakuu mziki wa Performance Management 😪😪,

Heshima yenu wote mliopita stage hii na kufaulu hili somo✋.

Vipi ulifaulu hili somo at a first exam sit? Au ni second and more?😜 Zipi mbinu za kufaulu jamani?

20220218_230355.jpg
 
Nnavyojua mimi ni ndani ya miaka 5 mkuu, ila zaidi ya hapo unafanya mitihani yote mkuu maana wanasema ni kama utakua umesahau vitu vingi ndiyo maana wanataka uanzie chini. So umeshaanza kusoma?
Sasa nimesahau nini kama mtu nilikuwa ninafanya kazi? Kama mtu hajafanga kazi mweli but amtu yupo job ana apply hizo accounting principles anasahau vipi
 
Na sisi tulioko mazingira ya vijijini kuna namna gani rahisi ya kuisoma hii CPA...
Au hadi tusogee town centre.
Mkuu kuna online review Classes , na discussion kama utapata na wenzio huko, pia mitihani kuna centres za mikoani. Si lazima uje kufanyia Bunju.
 
Back
Top Bottom