Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Hongera sana kipenzi changu😍It's happening now.., karibuni wakuu
#CPA Graduation 🙏

Ahsante sana dear🙏Hongera sana kipenzi changu😍
Nimekutumia zawadi yako ukaichukue pale pa siku zote unapokuliaga😂Ahsante sana dear🙏
Duh aisee ule mziki wa cpa sijawahi ona, ulinipeleka mchaka mchaka mno hata nikiunganisha msuli wa form 6 na degree bado haifiki hata nusu.
Sitiing ya Kwanza - May
Sitting ya kwanza nilifanya May huku nimelipia tuition centre / review classes, nikitoka kazini naenda centre huku nimechoka balaa, kwa misifa nilichukua masomo 6, aisee nlikula za ovyoo ovyo usoni nikafaulu somo moja tu la B6 (hili somo jepesi kuzidi yote ni kama civics), nilitamani kulia!!, hata hivyo matokeo hayakunishangaza maana nilikuwa nikifika centre nimechoka sana kufatilia kwa umakini kipindi, nkirudi home nina majukumu ya kifamilia, n.k
Sitiing ya Pili - November
Sitting ya pili nikaona wacha nijisomee kivyangu tu nikaona centre inanibana nikawa private candidate nikachagua masomo yangu manne tu, ikawa ni mwendo wa kusolve past papers za bodi yetu na nchi nyingine ((acca, cima, cpa ireland, cpa ghana, cpa nigeria, ca india)), maswali ya vitabu, kula pindi youtube videos, google, n.k yani msuli wa notes asilimia 30 na msuli wa kusolve pepa asilimia 70, nilipiga pepa 4 nikachomoa zote B5 baba lao, B1 mama mwenye nyumba, b3 na b2. hiki kipindi nlikuwa naamka saa 10 nasukuma kalamu hadi saa 12 na nusu, computer ya kazini niliijaza pdf za maswali ya kutosha, saa 11 na nusu jioni nafika home nakaa hadi saa 12 na robo ivi naenda kasehemu karibu na home napiga piga msuli hadi saa 3 narudi home, weekends jumamosi na j2 saa 7 mchana hadi saa 10 then misele ya hapa na pale, jamani hiki kipindi sitasahau, hadi hapa nilipo nakumbuka formula za variance analysis topic ya b5.
Sitting ya tatu - May
sitting ya tatu ya may mwaka ujao nikafanya masomo manne ...ya final level matatu c1, c2, c4 na kiporo kimoja cha intermidiate b4, nilifaulu yote!! c4 na b4 masomo ya tax nilianza kusoma mapema mno kufikia July mambo kibao nisha cover hasa ukizingatia c4 ndio somo jepesi zaidi kwa inal level na kitabu chake ndio kidogo kuzidi vyote kwa intermidiate na final, kwa hio nikawa nimepunguza mzigo, ikawa na deal sana na c1 na c2 ambayo nayo hayakua mapya sana maana hilo c1 ni kaka mkubwa wa b2, c2 ni kaka mkubwa wa b3.
Sitting ya nne - November
sitting ya nne na ya mwisho Novemba hapo sasa nikawa nimebakiza somo moja tu la C3, mfalme wa wafalme, huyu mjinga ukienda kichwa kichwa anakupa kichapo heavy na hana undugu na masomo mengine ya intermediate kama wenzake kina c1, c2 na c4, ikawa kila siku jioni masaa mawili nampapasa yeye tu 🤠 tena nilianza mapema, siku ya mtihani ikafika nikafanya pepa na nikaimaliza nikiwa nina uhakika napata B lakini nilipotoka kwenye mtihani niliona kuna swali moja nimechanganya mafaili, matokeo yalivyotoka kinyonge ila si mbaya nilipata C.
graduation sikwenda, ratiba zilinibana
niliacha kazi private baada ya jambo kutiki serikalini
nilimaliza cpa ila moto ilionipelekea siji sahau
CONCLUSION:
-Wahi kuanza kusoma cpa kabla ya majukumu mengi, ukimaliza tu chuo we unganisha kama uwezo upo.
-Kama umeamua kusoma cpa uwe umemaanisha, Cpa haisomwi kilelemama, cpa inahitaji jitihada kubwa mno, watu wengi hukatisha safari zao za cpa kwa kukata tamaa baada ya kufeli mara kwa mara ama sheria za bodi kuwalazimu kuacha, hivyo usitegemee kusoma cpa kama unavyosoma chuoni, huku mtu kufaulu somo inabidi upate alama ya C inayoanzia maksi 40 lakini shughuli ya kupata hilo karai si mchezo, kuhusu kupata B ukiachana na somo la B6 ambalo wengi wanajipigia ni nadra sana maana wanaozipata ni takribani asilimia moja tu, kuhusu alama A ni kama muujiza maana binafsi nimewahi kuiona mara moja tu.
-Solve sana maswali kuliko kusoma notes, solve maswali ya pastpapers ya Tz, ireland, india, nigeria, cima, acca, n.k
-fanya walau masomo manne manne au matatu ili kupata timetable nzuri na concetration kubwa. kupiga masomo sita kwa mpigo si shughuli ya kitoto ile.
-usifatilie matokeo ya wenzako unaweza kukata tamaa na kuwa jealous, binafsi sitting yangu ya kwanza nlipofanya masomo 6 na kufaulu 1 tu kuna wenzangu walifaulu manne, ila hadi navyohitimu walikuwa hawajamaliza maana kuna masomo yalikuwa yamewabana wanarudia hadi mara 3 ngoma inadunda, kiufupi kuwahi kuanza ku clear masomo mengi usimcheke yule ambae kafaulu moja au kafeli yote
-Mitihani ya may inakazwa sana kuliko novemba, tumia nafasi za novemba vi
Chief mm pia ni candidate wa CPA na nimebakisha masomo ya final 3 yaani C1,C3 na C4 lakini yananisumbua sana nimefanya mthn mara 3 lkn bado sijachomoaDuh aisee ule mziki wa cpa sijawahi ona, ulinipeleka mchaka mchaka mno hata nikiunganisha msuli wa form 6 na degree bado haifiki hata nusu.

-Mitihani ya may inakazwa sana kuliko novemba, tumia nafasi za novemba vizuri
Chief mm pia ni candidate wa CPA na nimebakisha masomo ya final 3 yaani C1,C3 na C4 lakini yananisumbua sana nimefanya mthn mara 3 lkn bado sijachomoa
Wakuu hamna mtu anayepiga foundational costing A3 na financial acc A4 tudiscuss
Nipo Tabata wewe??Wewe upo wapi?
Wakuu hamna mtu anayepiga foundational costing A3 na financial acc A4 tudi
Nipo Tabata wewe??
Unapiga masomo gani?......venue za kujisomea zipoNjoo hapa Covenant Institute tukiwashe
Venue zipo. A3 & A4Unapiga masomo gani?......venue za kujisomea zipo
Kaka nakucheki DMVenue zipo. A3 & A4
Umeshaanza tuitionVenue zipo. A3 & A4
SawaKaka nakucheki DM
why are you crying M d? all the best on your coming exam kama utafanya🙏🏾
January ndo naiingia intake ya foundation naogopa kufel na watu wanavyo comment hapa.....why are you crying M d? all the best on your coming exam kama utafanya🙏🏾
Aah mkuu usijali kabisa, hizo comments zitumie Kama chachu ya kupambana na siyo kukata tamaa, usiogope kufeli pia foundation level mambo siyo magumu bana unaweza chukua masomo yote na ukatoboa, kuna watu wanapata hadi A A huko, pambana hadi kieleweke kuna raha yake kuwa na CPA mkuu😁January ndo naiingia intake ya foundation naogopa kufel na watu wanavyo comment hapa.....