Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Nimefanya banking and finance 2023, IFM vigezo vya NBAA itakuaje 🤔Aah mkuu usijali kabisa, hizo comments zitumie Kama chachu ya kupambana na siyo kukata tamaa, usiogope kufeli pia foundation level mambo siyo magumu bana unaweza chukua masomo yote na ukatoboa, kuna watu wanapata hadi A A huko, pambana hadi kieleweke kuna raha yake kuwa na CPA mkuu😁