financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
- #601
Hello, unamaanisha umeshalipia for exams?Sorry, Et guyz Is it possible to add /reduce the subject after being registered ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello, unamaanisha umeshalipia for exams?Sorry, Et guyz Is it possible to add /reduce the subject after being registered ?
😀😀 nitafutie basi mzabzab, au uwe wewe mwenyewe tu, nipate CPA na hubby at once😀Masters tena jamani🤔 sii tulikubaliana baada ya cpa tunaweka nguvu kwenye kupata hubby😝
Sasa haya ndio maneno. Hubby ulishapata muhimu univumilie na kibamia changu😝😀😀 nitafutie basi mzabzab, au uwe wewe mwenyewe tu, nipate CPA na hubby at once😀
Na kibamia tena😀😀 muhimu ni upendo tu mengine majaaliwa😀Sasa haya ndio maneno. Hubby ulishapata muhimu univumilie na kibamia changu😝
Naja pm tuyajenge nilishapata mke msomi hapa
Upendo tuu umepata...sie ndio tutakuwa couple pendwa hapa jf.Na kibamia tena😀😀 muhimu ni upendo tu mengine majaaliwa😀
😀😀😀 una nini lkn hubby to be, tutanyunyizia kachumbari😀😀🙌Upendo tuu umepata...sie ndio tutakuwa couple pendwa hapa jf.
Trailer itaanza pale kwenye harusi yetu. Wana jf wote watalikwa pale kwa mkapa...uwanja utajaa sinia za pilau huku bwana harusi na bi harusi tupo juu ya helicopter tunanyunyuzia kachumbali na vyuku wageni waalikwa🤣🤣🤣🤣🤣
Sherehe lazima iwe na mbwembwe😀😀😀 una nini lkn hubby to be, tutanyunyizia kachumbari😀😀🙌
Mkuu nimekumbuka hii ahadi, nimeshamaliza tayari, lini tuanze kazi🤪😃Nitakuajiri kwenye kampuni yangu ukimaliza masomo Financial services.
Though bado ipo kichwani 😂😂
Beauty with brain ❤️❤️
Fungua ofisi yako uwe tax consultant, biashara nyingi kitaa wanaonewa na tra!Mkuu nimekumbuka hii ahadi, nimeshamaliza tayari, lini tuanze kazi🤪😃
Hongera CPA T, Karibu kwenye chama . Kuwa certified ni kuzuri na kunafungua milango mingi ya fursa. Kama umefanya na kumaliza mitihan ya Bodi, mitihan ya chuo unaona ni utoto tu .It's happening now.., karibuni wakuu
#CPA Graduation [emoji120]
Nimefurahi sana kwa wewe kuipata CPA. Hongera sana mkuuIt's happening now.., karibuni wakuu
#CPA Graduation 🙏
Ahsante sana mkuu🙏Nimefurahi sana kwa wewe kuipata CPA. Hongera sana mkuu
Angalau umetimiza ndoto yako. Hicho ndicho cha msingi.Ahsante sana mkuu🙏
Ahsante sana mkuuHongera CPA T, Karibu kwenye chama . Kuwa certified ni kuzuri na kunafungua milango mingi ya fursa. Kama umefanya na kumaliza mitihan ya Bodi, mitihan ya chuo unaona ni utoto tu .
Nashukuru kwa kujua, inshallah ntalipa, wewe umeshamaliza kulipa madeni yako? Au wewe safari yako hukukopa ada? Ama hukusoma CPA?Mtoa mada anza kulipa madeni ya watu sasa,maana tunajua ktk hii safari yako ya kusoma Cpa ulikua unakopa kopa sana kwa ajili ya ada.
Dawa ya deni ni kulipa.
Namshukuru Mungu kwakweli,hatimaye imetimia🙏Angalau umetimiza ndoto yako. Hicho ndicho cha msingi.
Nishalipa yote.Nashukuru kwa kujua, inshallah ntalipa, wewe umeshamaliza kulipa madeni yako? Au wewe safari yako hukukopa ada? Ama hukusoma CPA?
Hongera sanaNishalipa yote.