Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Mimi sijasoma Account, nimesoma Sheria, nikiwa chuo mwaka wa mwisho 2022 nilianza kuufatitlia huu uzi watu wakipambana kuitafuta CPA, kupitia huu uzi ulinitia moyo na nguvu sana na mimi kuunganisha Law School of Tanzania, mwaka 2023 January nilianza Law School na kuhitimu December, nashukuru Mungu matokeo yalienda vizuri. Asante sana kwa mtoa mada kwa huu uzi.
Niwatakie pia mapambano mema ya kuisaka elimu ya CPA.
Niwatakie pia mapambano mema ya kuisaka elimu ya CPA.