Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 906
- 1,401
Nakuunga mkonoNingejua kuwa Maisha ni hivi, either nilivyomaliza lasaba ningeingia kitaa au walau ile form 4 tu yaani.
Huku kwingine I wasted my time kwa kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuunga mkonoNingejua kuwa Maisha ni hivi, either nilivyomaliza lasaba ningeingia kitaa au walau ile form 4 tu yaani.
Huku kwingine I wasted my time kwa kweli.
kivip mkuuNon accounting degree zote nadhani wanaanzia ATEC huko. Binafsi sishauri mtu kusoma CPA. It is a waste of time.
Course ngumu lakini return yake kwa Tanzania ni hovyo tu. Yaani unachokiwekeza, muda unaotumia kusoma na shida zote za kuhangaika kuipata hazilingani ni return yake.kivip mkuu
Bongo roho mbaya na wivu imetawala, mtu anaona bora akupige chini, kuliko akupe kitengo na CPA yako, alafu umpite mshahara, privileges nyingine.Course ngumu lakini return yake kwa Tanzania ni hovyo tu. Yaani unachokiwekeza, muda unaotumia kusoma na shida zote za kuhangaika kuipata hazilingani ni return yake. Kwa gharama utakazotumia na muda utakaopoteza kuhangaika na cpa ukiuwekeza kwenye mambo mengine unakuwa mbali. Kwa sasa unaweza kuipata cpa na ukaendelea kukaa mtaani bila ajira. Nchi zingine ukiwa na cpa wewe ni tajiri ila sio kwa bongo.
Nchi hii huwa inafuata mkumbo tu lakini haijawa tayari kabisa kuendana na hadhi ya kile inachokiiga. South Africa ukiwa na CPA umaskini unauaga.Bongo roho mbaya na wivu imetawala, mtu anaona bora akupige chini, kuliko akupe kitengo na CPA yako, alafu umpite mshahara, privileges nyingine.
Asilimia kubwa upoteze mda wako, kuongeza skills za mikono, unajua huwez kulala njaa mtaani.
Tusome kwa kuangalia demands ya soko, sio usome tu kwa kuiga mtu au uonekane unasoma vitu vigumu.
Hivi hiyo CPA ni ngumu kuliko Physics?Kumbe msomi eh! Hongera sana ila inabidi upige sana kitabu usihofu ukiweka nia na kujituma utaipata tu.
Mie La Saba nikiisoma nakuwa na thamani sawa na wenye degree za Uhasibu?CPA hata wa la saba unaisoma mkuu. Mapafu yako tu.
South wanoko kuliko Waingereza.ACCALa saba huwezi kuruhusiwa kusoma CPA, hata form four kama hana ufaulu wa hesabu na English hawezi kusoma CPA. Kwa Tanzania CPA wameirahisisha sana vigezo vya kuingia, kwa nchi kama South Africa ambako inaitwa CA (Chartered Accountant) minimum entry requirement ni degree ya uhasibu tu yaani iwe uhasibu pure ambayo ni financial accounting.
Dah hizo sio mbinu ya kukamua watu pesa kweli?Kwa kuongezea
Kuna seminars zinaandaliwa na bodi Kila mwaka, kwa mwaka unatakiwa kuhudhuria seminars angalau 4 (sina hakika na idadi). Wakati wa kuomba muhuri wako bodi wataangalia na idadi ya seminars ulizohudhuria
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Dah mbona mnatuchanganya sasaNon accounting degree zote nadhani wanaanzia ATEC huko. Binafsi sishauri mtu kusoma CPA. It is a waste of time.
Ili kufikia level ya kuwa Certified Public Accountant (CPA) kuna ngazi tano.Dah mbona mnatuchanganya sasa
Bahati mbaya sikusoma Physics, ila na mimi niulize hiyo CPA inaweza kuwa ngumu kuliko japo Pure Mathematics?Hivi hiyo CPA ni ngumu kuliko Physics?
Hongera kiongozDuh aisee ule mziki wa cpa sijawahi ona, ulinipeleka mchaka mchaka mno hata nikiunganisha msuli wa form 6 na degree bado haufikii nusu.
Sitting ya kwanza nilifanya May nikiwa huku nimelipia tuition centre, nikitoka kazini naenda centre huku nimechoka balaa, kwa misifa nilichukua masomo 6, aisee nlikula za uso nikafaulu somo moja tu la B6 (hili somo jepesi kuzidi yote ni kama civics), nilitamani kulia!!, hata hivyo matokeo hayakunishangaza maana nikifika centre nlikuwa nimechoka sana kufatilia kwa umakini kipindi, nkirudi home nina majukumu ya kifamilia, n.k
Sitting ya pili nikaona wacha nijisomee kivyangu tu nikaona centre inanibana nikawa private candidate nikachagua msomo yangu maane tu, ikawa ni mwendo wa kusolve past papers za bodi za nchi nyingine na zile za bodi yetu, maswali ya vitabu, kula pindi youtube videos, google, n.k yani msuli wa notes asilimia 30 na msuli wa kusolve pepa asilimia 70, nilipiga pepa 4 nikachomoa zote B5 baba lao, B1 mama mwenye nyumba, b3 na b2. hiki kipindi nlikuwa naamka saa 10 nasukuma kalamu hadi saa 12 na nusu, computer ya kazini niliijaza pdf za maswali ya kutosha, saa 11 na nusu jioni nafika home nakaa hadi saa 12 na robo ivi naenda kasehemu karibu na home napiga piga msuli hadi saa 3 narudi home, nkifika home vitabu pembeni, weekends jumamosi na j2 saa 7 mchana hadi saa 10 then misele ya hapa na pale, jamani hiki kipindi sitasahau, hadi hapa nilipo nakumbuka formula za variance analysis topic ya b5.
baada tu ya kumaliza pepa ya novemba, baada ya wiki nikaanza kusoma b4 na c4 yanayohusu tax, baada ya takribani miezi miwili matokeo yanapotoka nilikuwa mbali sana, nmebakiza topics chache huku nyngine nikiwa nimeshazielewa nasolve tu maswali, hii mbinu ilinisaidia mno kubalance ratiba yangu kwenye sitting ya may.
sitting ya tatu ya may mwaka ujao nikafanya masomo manne ...ya final level matatu c1, c2, c4 na kiporo kimoja cha intermidiate b4, nilifaulu yote!! unajua kwanini ?? c4 na b4 masomo ya tax nilianza kusoma mapema mno kama nilivyoweka wazi hapo awali, ka hio nikawa nimepunguza mzigo, ikawa na deal sana na c1 na c2 ambayo nayo hayakua mapya sana maana hilo c1 ni kaka mkubwa wa b2, c2 ni kaka mkubwa wa b3, na c4 nae wanashare vitu na b4, sema c4 sijamwita ni kaka kubwa wa b4 sababu c4 ina vitu viache sana hata kitabu chake ni kidogo kuzidi vitabu vyote vya cpa, ndio somo jepesi zaidi kwa final level.
sitting ya mwisho novemba hapo sasa nikawa nimebakiza somo moja tu C3, mfalme wa wafalme, kila siku jioni masaa mawili nalipapasa, nikafanya pepa na nikaimaliza nikiwa nina uhakika nishamakiza game.
graduation sikwenda, ratiba zilinibana
niliacha kazi private baada ya jambo kutiki serikalini
nilimaliza cpa ila moto ilionipelekea siji sahau
Ndiyo nilipata mkuu! Karibu kama una la kuongezea piaNatumae mleta mada ulipata miongozo...