Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Aiseeeh this is very interesting....hadi nimeogopa[emoji1]
 
Nimeshaanza kusoma wakuu, nimeanzia foundation level ila nimepata exemption of 4 subjects out 6, so ntafanyia mtihani masomo 2.

Naomba kufahamu hii exemption unapewa kama umemaliza chuo baaada ya muda gani?

Je kama ulisoma miaka 5 au 10 nyuma wanakupa? maana mimi walininyima na nimesoma accounts undergraduate, wanaangalia nini hasa?

Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
 
Nnavyojua mimi ni ndani ya miaka 5 mkuu, ila zaidi ya hapo unafanya mitihani yote mkuu maana wanasema ni kama utakua umesahau vitu vingi ndiyo maana wanataka uanzie chini. So umeshaanza kusoma?
 
Wakuu mziki wa Performance Management 😪😪,

Heshima yenu wote mliopita stage hii na kufaulu hili somo✋.

Vipi ulifaulu hili somo at a first exam sit? Au ni second and more?😜 Zipi mbinu za kufaulu jamani?

 
Nnavyojua mimi ni ndani ya miaka 5 mkuu, ila zaidi ya hapo unafanya mitihani yote mkuu maana wanasema ni kama utakua umesahau vitu vingi ndiyo maana wanataka uanzie chini. So umeshaanza kusoma?
Sasa nimesahau nini kama mtu nilikuwa ninafanya kazi? Kama mtu hajafanga kazi mweli but amtu yupo job ana apply hizo accounting principles anasahau vipi
 
Na sisi tulioko mazingira ya vijijini kuna namna gani rahisi ya kuisoma hii CPA...
Au hadi tusogee town centre.
Mkuu kuna online review Classes , na discussion kama utapata na wenzio huko, pia mitihani kuna centres za mikoani. Si lazima uje kufanyia Bunju.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…