Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
Ukitaka kufanya Cost Accounting na Financial Accounting make sure una muda wa kutoshaHabarini Wakulungwa?
Ninaombeni msaada! Ninahitaji kufanya mtihani kwa level ya Foundation, nitaanza na masomo manne! Je ni masomo gani Mepesi nianze nayo kwa Mtazamo wenu?
Shukrani Boss! Muda hauwezi kosekana ntakomaa kibishiUkitaka kufanya Cost Accounting na Financial Accounting make sure una muda wa kutosha
Vipi mdada upo? Umepumzika kwa sasa pepa za CPA?Mnaoendelea na CPA kwa ajili ya Mid session and November sit, just a reminder, review classes zimeshaanza tangu last week so bado hujachelewa fanya maamuzi sasa tukutane class.πͺ
Nipo Dr. Habari ya siku nyingi ? Pepa naendelea mdogo mdogo i hope ntamaliza November Mungu akipendaVipi mdada upo? Umepumzika kwa sasq pepa za CPA?
Kwema Wadau? Niliomba Past Papers za A2 na A6 mwenye nazo wadau!Habarini Waungwana? Please naomba msaada wa past papers za A2 na A6 kwa mwenye nazo! Tafadhali msaada
Mambo mkuu, i hope utakua na account yako NBAA, ukiingia kuna sehemu inaitwa "Questions Bank" huko utapata past papers and answers, pia materials ingia sehemu inaitwa "Learning materials"utachagua hizo A's zote zipo ni vitabu vya boardKwema Wadau? Niliomba Past Papers za A2 na A6 mwenye nazo wadau!
Pua naomba kujuzwa Structure ya Mtihani kwa hayo masomo tajwa hapo juu
Dah sijapata mkuu kuna group niliomba wakuadd wakazingua eti ni hadi uwe unasoma hiyo center(umelipia) ila nikipata ntakujulishaHbr wadau!! Km Kuna group la WhatsApp la wanaoitafuta CPA naomba kuunganishwa plse,WhatsApp no is 0767874060
Yes Mshamba, mambo!
poa, nauliza, hii cpa ukiipata ajira inakuwa uhakika?Yes Mshamba, mambo!
Dah sijapata mkuu kuna group niliomba wakuadd wakazingua eti ni hadi uwe unasoma hiyo center(umelipia) ila nikipata ntakujulisha
Naomba nimcheke mshamba leo π π π π π πpoa, nauliza, hii cpa ukiipata ajira inakuwa uhakika?
sifanyi unafki, kweli sielewi hivi vitu
sasa si unielekeze na weweNaomba nimcheke mshamba leo π π π π π π
Hivi vitu huviwezi we rudi kwenye uzi wako wa selfika ππππ
Inawezekana kabisa siyo lazima kusoma centre yoyote, bodi wanahitaji tu ufaulu mitihani yao, na wamekuwekea materials zao za kujisomea tu mwenyewe. So tukutane BunjuNaomba kuuliza,kwani huwez fanya mitihan ya bodi bila kusoma kwenye hyo centre (CFC)β¦
Mfano mimi nikilipia tu mitihan ya bodi si naruhusiwa kufanya ama kigezo mpka uwe umesoma kwa hyo review classes centre
Sikuhakikishii sana ila ina added advantage mfano sahivi nafasi nyingi zinazotangazwa wanahitaji watu wenye CPA, so ukiwa nayo ni rahisi zaidi kupata, ila pia sijaona CPA T ambaye hajapata kabisa kazi aahpoa, nauliza, hii cpa ukiipata ajira inakuwa uhakika?
sifanyi unafki, kweli sielewi hivi vitu
aha,ila pia sijaona CPA T ambaye hajapata kabisa kazi aah