Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Habarini Wakulungwa?
Ninaombeni msaada! Ninahitaji kufanya mtihani kwa level ya Foundation, nitaanza na masomo manne! Je ni masomo gani Mepesi nianze nayo kwa Mtazamo wenu?
Ukitaka kufanya Cost Accounting na Financial Accounting make sure una muda wa kutosha
 
Hbr wadau,naomba kujuzwa taratibu za kufanya registration kwa ajili ya mitihani ya body,intermediate level,na namna ya kusect masomo unayoyataka
 
Habarini Waungwana? Please naomba msaada wa past papers za A2 na A6 kwa mwenye nazo! Tafadhali msaada
 
Habarini Waungwana? Please naomba msaada wa past papers za A2 na A6 kwa mwenye nazo! Tafadhali msaada
Kwema Wadau? Niliomba Past Papers za A2 na A6 mwenye nazo wadau!
Pua naomba kujuzwa Structure ya Mtihani kwa hayo masomo tajwa hapo juu
 
Kwema Wadau? Niliomba Past Papers za A2 na A6 mwenye nazo wadau!
Pua naomba kujuzwa Structure ya Mtihani kwa hayo masomo tajwa hapo juu
Mambo mkuu, i hope utakua na account yako NBAA, ukiingia kuna sehemu inaitwa "Questions Bank" huko utapata past papers and answers, pia materials ingia sehemu inaitwa "Learning materials"utachagua hizo A's zote zipo ni vitabu vya board
 
Dah sijapata mkuu kuna group niliomba wakuadd wakazingua eti ni hadi uwe unasoma hiyo center(umelipia) ila nikipata ntakujulisha

Naomba kuuliza,kwani huwez fanya mitihan ya bodi bila kusoma kwenye hyo centre (CFC)…

Mfano mimi nikilipia tu mitihan ya bodi si naruhusiwa kufanya ama kigezo mpka uwe umesoma kwa hyo review classes centre
 
Inawezekana kabisa siyo lazima kusoma centre yoyote, bodi wanahitaji tu ufaulu mitihani yao, na wamekuwekea materials zao za kujisomea tu mwenyewe. So tukutane Bunju
 
poa, nauliza, hii cpa ukiipata ajira inakuwa uhakika?

sifanyi unafki, kweli sielewi hivi vitu
Sikuhakikishii sana ila ina added advantage mfano sahivi nafasi nyingi zinazotangazwa wanahitaji watu wenye CPA, so ukiwa nayo ni rahisi zaidi kupata, ila pia sijaona CPA T ambaye hajapata kabisa kazi aah
 
Back
Top Bottom