Ok Akhsante sana, nitapitia humo..Mambo mkuu, i hope utakua na account yako NBAA, ukiingia kuna sehemu inaitwa "Questions Bank" huko utapata past papers and answers, pia materials ingia sehemu inaitwa "Learning materials"utachagua hizo A's zote zipo ni vitabu vya board
Hatimaye muda umefika tena, all the best kwa wanaojiandaa na mitihani panapo next, Mungu awajaalie afya njema kipindi chote cha mitihani🙏 mpaka kieleweke
Tofauti ya CPA na ACCA ni ipi
Nimalize wapi mkuu😩 Naenda taratibu, inshallah mwakani🙏 hongera zake huyo mdogo akoUmeshamaliza cpa?
Maana kitambo huu uzi
Huu uzi nilimuonesha mdogo wangu ukampa nguvu na ameshapata CPA tayari now ameajiriwa auditor PwC
All the best MadamNimalize wapi mkuu[emoji30] Naenda taratibu, inshallah mwakani[emoji120] hongera zake huyo mdogo ako
Thank you mkuu, hatimaye nikamaliza pepa jana, now waiting for the results ila B1 shikamoo😪🙌All the best Madam
Soon na ww..umetokea mbali sana..usijilinganishe na mtu.
Pole mkuu B1 ni nzito ila naona inataka upitie past paper sana mazoezi kwa wingi ndio unachomoa kwa urahisiHongereni kwa mliomaliza mitihani Jana, tunamshukuru Mungu kwa afya njema kipindi chote cha mitihani[emoji120], now we are back to business maana haya masomo yanaweza kukutenga hata na ndugu hamna kuonana , kutoka out dah[emoji848]
Kama kuna mtoko sehemu nipeni wakuu niko free now[emoji3](joke kidogo)
Kabisa mkuu maana bila hivo unateseka sana, nadhani hata kabla matokeo hayajatoka nimeshajijua nilichofanya😔 nataka nianze mapemaa kujisomeaPole mkuu B1 ni nzito ila naona inataka upitie past paper sana mazoezi kwa wingi ndio unachomoa kwa urahisi
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Itabidi uje nikusaidie hiyo B1 [emoji16] (just jokes).Kabisa mkuu maana bila hivo unateseka sana, nadhani hata kabla matokeo hayajatoka nimeshajijua nilichofanya[emoji17] nataka nianze mapemaa kujisomea
Hahaa kama kweli uko vizuri nisaidie mkuu maana hii B1 naona itamaliza mtaji wote wa biashara😀Itabidi uje nikusaidie hiyo B1 [emoji16] (just jokes).
Mimi nilisoma kwa kupitia kitabu cha NBAA maswali ya mwisho wa topic sana na past paper zao pia ACCA ,kama NBAA nilianzia past paper za 2015 mpaka recently
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Hivi usajili na gharama zote za intermidiet level ni kiasi ganHahaa kama kweli uko vizuri nisaidie mkuu maana hii B1 naona itamaliza mtaji wote wa biashara[emoji3]
Usajili unalipia 75,000 annual subscription fee, then utalipia exams fee 140,000/= kwa kila somo na kuna masomo 6 + exams processing fees 20,000/=Hivi usajili na gharama zote za intermidiet level ni kiasi gan
Kabisa mkuu maana bila hivo unateseka sana, nadhani hata kabla matokeo hayajatoka nimeshajijua nilichofanya😔 nataka nianze mapemaa kujisomea
Sasa nishaanza mkuu, yaani bado mkia ndiyo unaosumbua kumalizia ng'ombe mzima🤔Ukiona CPA inakutesa sana.. ipigie mzunguko na kuipata kwa njia ya ACCA
Ahsante Shadow7Hongereni sana
Je kuhusu tution center fees yake kwa kila somoUsajili unalipia 75,000 annual subscription fee, then utalipia exams fee 140,000/= kwa kila somo na kuna masomo 6 + exams processing fees 20,000/=