Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Hongera sana umepambana inahamasisha kwa kweli Mungu akujalie Afya njema na kukumbuka yale uliyosoma ufaulu uje utupe feedback hapa
Amina ahsante sana mkuu, hakika tangu 2021 aisee but Mungu ni mwema, ntakualika kwenye graduation yangu nikimaliza inshallah🙏
 
Kwa mnaotaka kuanza Review Classes for May exams, muda ni sasa wameanza tangu last week so hatujachelewa. Twendeni tukapambane hadi kieleweke wakuu🙏
 
Lazima niwepo sis kushuhudia hiyo siku, [emoji482][emoji482][emoji482]
Ntafurahi kukaona ka baby sis kangu, karibu sana 🥰 but tuombeane mambo yaende vizuri maana hiyo mitihani yenyewe ni migumu😒😀
 
Mkuu ulifanikiwa? Naona rukwa hakuna center vp ulikua unasoma online au wewe kujisomea Tu private
 
Kwahyo unaeza ukawa na degree ya mambo mengne tofauti na uhasibu na ukaweza kusoma CPA kwa TZ or.?
 
Watafute Wexito Consulting Group, wako vizuri kwenye mambo ya CPA
 
Wakuu naombeni ushauri kidogo...mm ni mwalimu mwenye Elimu ya diploma na nmeamua kijiendeleza ki masomo na by now nasoma Accounting and finance mwaka wa mwisho...Shida yangu ni kutaka kujua ni Department gan inafanya vizur saiv kati ya Uhasibu au ukaguzi wa ndani(Internal audit) katika level ya halmashauri.
 

Kwanza hongera kwa kujiendeleza. Mimi sio mhasibu ila nitakujibu kwa nnavyozijua halmashauri..

Ukiwa mhasibu ni madra kupata posho

Ukiwa internal auditor sometimes unaweza toka nje kukagua miradi ukapata tupesa twa vocha.

Ukiwa mhasibu ni rahisi kupata hata 10% ukipitisha malipo ya mtu.

Ukiwa mhasibu utakua unapelekeshwa na DT na kama mfumo ukiwa mbovu lawama zote kwako.

Sasa kazi ni kwako kuamua!

All in all haijalishi utapangiwa wapi, kazana ukimaliza upate CPA hiki ndio cha muhimu kwako. Pia ukishapata degree au ukipata cpa hama halmashauri sio pazuri.. tafuta mashirika ya umma uhamie uko.. tarura, ruwasa, tanapa nk nk!

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kuhama kwenda kwenye mashirika process zake zinakuwaje
 
Heshimu fani za watu Mkuu.
Watu wengine kama machizi tu. Leseni yenyewe hata mtu asiejua kusoma na kuandika,hupata. Ila anateseka sana mpaka afanikiwe.

CPA ndo la saba akasomee!!!! Dah! Ila hili huweka wazi watu na akili zao. Wanaoijua,wanajua. Wengi wanataka,lakini uhakika wa kupata hawana.
Na ndo maana ukiitafuta kwa kulipwa mshahara tu,haina msaada. Kwa watu wanaoijua, huwezi kuivamia bila basics za uhasibu.
Wameifananisha na wale wanaomaliza F4,eti wanaenda kusomea kuwa wafamasia miaka 2. Mfamasia wa kweli,anajua
 
Kwani mkuu CPA inataka mtu awe na elimu gani? I mean kwa mujibu wa NBAA.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…