Wanaotaka kujiuwa waangalie tukio hili.

Wanaotaka kujiuwa waangalie tukio hili.

Totos Boss

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
5,454
Reaction score
1,569
Kijana aliamua kujiuwa baada ya kuharibika uso (reception) yake kutokana na ajali. Alipofika horofami ili ajitupe na afe, alimuona jamaa hana mikono na anacheza cheza. Akawaza mimim uso tu umeharibika nataka kujiuwa mwenzangu hata mkono mmoja huna na anafuraha maishani kulikoni? Akamwambia nataka kujikuna mgongoni lakini sijipatii ndio nageuka huku na huku.
 
Back
Top Bottom