Wanaotaka kwenda kutalii Marekani watalazimika kutoa Historia ya Mitandao yao ya kijamii ya miaka 5

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Watalii kutoka nchi kadhaa huenda wakalazimika kutoa historia ya matumizi ya mitandao ya kijamii ya miaka mitano ili kuingia Marekani, kulingana na pendekezo jipya. Sheria hiyo ingewahusu wasafiri kutoka mataifa yanayoruhusiwa kuingia kwa siku 90 bila visa, mradi wanatumia mfumo wa ESTA.

Marekani inatarajia wimbi kubwa la wageni mwakani wakati wa Kombe la Dunia la Soka la wanaume—litakaloshirikiwa na Canada na Mexico—na tena mwaka 2028 kwa Olimpiki za Los Angeles.

==============For English Audience===============​
Tourists from dozens of countries could soon be required to provide a five-year social media history to enter the United States, under a new proposal. The rule would apply to travellers from countries eligible for 90-day visa-free entry, as long as they use the ESTA system. The US is expecting a major influx of visitors next year for the men’s football World Cup – shared with Canada and Mexico – and again for the 2028 Los Angeles Olympics.​
 
View attachment 3514204

Lengo ni Nini hasa?
 
Back
Top Bottom