Nauli ya kutoka dar hadi comoro ni sh. Ngapi kwa meli mkuu?na cost za visa ni sh. ngapi?TANGAZO ,:wale woote wanaofanya biashara comoro AMA wanataka kwenda kutazama fursa comoro bas meli IPO inapakia sasa..wahi nafas mnaotaka kwenda kutazama fursa bas ni wakat mzur wa kupakia mzigo kidogo ili kuweza kucover cost ...asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa haitosholeze kabisa.....meri unaondoka lini kila siku au kila wiki nauli shillingapi inachukua mda gani nk.TANGAZO ,:wale woote wanaofanya biashara comoro AMA wanataka kwenda kutazama fursa comoro bas meli IPO inapakia sasa..wahi nafas mnaotaka kwenda kutazama fursa bas ni wakat mzur wa kupakia mzigo kidogo ili kuweza kucover cost ...asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
ni meli ya mizigo mkuuNauli ya kutoka dar hadi comoro ni sh. Ngapi kwa meli mkuu?na cost za visa ni sh. ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio tabu yenu mnataka mtafuniwe mmezewe ...meli IPO nenda bandalin kaulizie inaondoka lini na ww ujue utapakia nn.Taarifa haitosholeze kabisa.....meri unaondoka lini kila siku au kila wiki nauli shillingapi inachukua mda gani nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa bandarini kuna meli ngapi mkuu lakini? Na bandarini kwenyewe mtu huruhusiwi kuingia hovyo hovyo si utoe details tu hapandio tabu yenu mnataka mtafuniwe mmezewe ...meli IPO nenda bandalin kaulizie inaondoka lini na ww ujue utapakia nn.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni meli za mizigo tu japo sometyme wanabeba ba watu japo hairusiwi
mkuu meli za comoro huwa zinapaki bandar ndogo na ukitaka Agence nenda maeneo ya k/koo alimurad hotel au msikiti wa kipata ndo maagent wa mzigo ya comoro wapo hapo au ni Dm kwa usaidiz zaidSasa bandarini kuna meli ngapi mkuu lakini? Na bandarini kwenyewe mtu huruhusiwi kuingia hovyo hovyo si utoe details tu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo KIGOMA,NIFUNGE SAFARI HADI DAR NIKAULIZE NAULI TU SH.NGAPI TOKA DAR to COMORO!!!?fanya ubinaadam tuambie nauli Ni kiasi gani utakuwa umetenda wema Sana hasa kwa sisi wa MACHOKORONI hukundio tabu yenu mnataka mtafuniwe mmezewe ...meli IPO nenda bandalin kaulizie inaondoka lini na ww ujue utapakia nn.
Sent using Jamii Forums mobile app
nauli kwa ndege ni lak 7Nipo KIGOMA,NIFUNGE SAFARI HADI DAR NIKAULIZE NAULI TU SH.NGAPI TOKA DAR to COMORO!!!?fanya ubinaadam tuambie nauli Ni kiasi gani utakuwa umetenda wema Sana hasa kwa sisi wa MACHOKORONI huku
Ahsante Sana
Hahaaa huyu jamaa ni kilaza Sana abafukiri wote wanaishi magomeni. Naona umeamua kuachana nae kiutu uzimaAhsante Sana
Ulitaka kujua nauli ya meli au ndege?Ahsante Sana
Hahaaa huyu jamaa ni kilaza Sana abafukiri wote wanaishi magomeni. Naona umeamua kuachana nae kiutu uzima
Sent using Jamii Forums mobile app
ww ndio kilaza comoro hamna meli za abiria usafir unaotumika ni ndege tuHahaaa huyu jamaa ni kilaza Sana abafukiri wote wanaishi magomeni. Naona umeamua kuachana nae kiutu uzima
Sent using Jamii Forums mobile app
watu wanapanda kwenye meli kwa kubaatisha couse hawaruhusu siku wakikusanukia msala
Mkuu huyu Mleta mada ana tatizo walilonalo watanzania wengi wanaofanya biashara zao comoro huwa hawawi wawazi. kaongelea meli halafu nauli analeta ya Ndege
he he he he! kazi ipo! eti hataki kumtafunia mtu! Kwahiyo mtu aende bandarini meli ipo! Kuna meli ngapi pale? Watanzania jamani!Sasa bandarini kuna meli ngapi mkuu lakini? Na bandarini kwenyewe mtu huruhusiwi kuingia hovyo hovyo si utoe details tu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehehehe! Nimeshindwa kumuelewa mtoa mada ni mtu wa namna gani? Anasema "meli ipo bandarini" Du!Nipo KIGOMA,NIFUNGE SAFARI HADI DAR NIKAULIZE NAULI TU SH.NGAPI TOKA DAR to COMORO!!!?fanya ubinaadam tuambie nauli Ni kiasi gani utakuwa umetenda wema Sana hasa kwa sisi wa MACHOKORONI huku
KWAKWELI HAELEWEKI!!!Hehehehehe! Nimeshindwa kumuelewa mtoa mada ni mtu wa namna gani? Anasema "meli ipo bandarini" Du!
Sent using Jamii Forums mobile app