Wanaotaka kwenda kutazama fursa Comoro bas meli ipo inapakia sasa

Wanaotaka kwenda kutazama fursa Comoro bas meli ipo inapakia sasa

TANGAZO ,:wale woote wanaofanya biashara comoro AMA wanataka kwenda kutazama fursa comoro bas meli IPO inapakia sasa..wahi nafas mnaotaka kwenda kutazama fursa bas ni wakat mzur wa kupakia mzigo kidogo ili kuweza kucover cost ...asanten

Sent using Jamii Forums mobile app
Nauli ya kutoka dar hadi comoro ni sh. Ngapi kwa meli mkuu?na cost za visa ni sh. ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANGAZO ,:wale woote wanaofanya biashara comoro AMA wanataka kwenda kutazama fursa comoro bas meli IPO inapakia sasa..wahi nafas mnaotaka kwenda kutazama fursa bas ni wakat mzur wa kupakia mzigo kidogo ili kuweza kucover cost ...asanten

Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa haitosholeze kabisa.....meri unaondoka lini kila siku au kila wiki nauli shillingapi inachukua mda gani nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa bandarini kuna meli ngapi mkuu lakini? Na bandarini kwenyewe mtu huruhusiwi kuingia hovyo hovyo si utoe details tu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu meli za comoro huwa zinapaki bandar ndogo na ukitaka Agence nenda maeneo ya k/koo alimurad hotel au msikiti wa kipata ndo maagent wa mzigo ya comoro wapo hapo au ni Dm kwa usaidiz zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio tabu yenu mnataka mtafuniwe mmezewe ...meli IPO nenda bandalin kaulizie inaondoka lini na ww ujue utapakia nn.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo KIGOMA,NIFUNGE SAFARI HADI DAR NIKAULIZE NAULI TU SH.NGAPI TOKA DAR to COMORO!!!?fanya ubinaadam tuambie nauli Ni kiasi gani utakuwa umetenda wema Sana hasa kwa sisi wa MACHOKORONI huku
 
Back
Top Bottom