Mpumbavu wahed. Yaani nipakie mtu mzigo niende nao Comoro. Mi najua huko kinauzika kitu gani? Nibebe nguo, viazi, mihogo, mchele, ndizi au nibebe electronics. Halafu ulivyo mpumbavu zaidi unasema tukapakie melini kumbe usafiri ni ndege. We ukapimwe mkojo.TANGAZO ,:wale woote wanaofanya biashara comoro AMA wanataka kwenda kutazama fursa comoro bas meli IPO inapakia sasa..wahi nafas mnaotaka kwenda kutazama fursa bas ni wakat mzur wa kupakia mzigo kidogo ili kuweza kucover cost ...asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Visa ni 78,000 meli zipo za mizigo ni inategemea na mzigo unaopakia na chaj yake ..nauli ya ndege ni lak 7
Dah mi nkajua kule free za Mbezi tu
hapana Visa 78,000 ya siku 45Dah mi nkajua kule free za Mbezi tu
Hahaha yani nauli ni almost 11 percent tu ya ticket ya ndege kweli maji ni usafiri nafuu sana.Visa ni 78,000 meli zipo za mizigo ni inategemea na mzigo unaopakia na chaj yake ..nauli ya ndege ni lak 7
Sent using Jamii Forums mobile app
yes lakn ndo hamna meli za abiriaHahaha yani nauli ni almost 11 percent tu ya ticket ya ndege kweli maji ni usafiri nafuu sana.
nadhan umetoroka milembeMpumbavu wahed. Yaani nipakie mtu mzigo niende nao Comoro. Mi najua huko kinauzika kitu gani? Nibebe nguo, viazi, mihogo, mchele, ndizi au nibebe electronics. Halafu ulivyo mpumbavu zaidi unasema tukapakie melini kumbe usafiri ni ndege. We ukapimwe mkojo.
Mkuu una madini. Tatizowatu wanapanda kwenye meli kwa kubaatisha couse hawaruhusu siku wakikusanukia msala
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda haya nitakayosema yatakuwa yamepitwa na wakati, LAKINI nadhani hilo tangazo liliwalenga "FOOLS" kwani Aprili Mosi ni "FOOLS DAY"! Ndiyo maana zerish89 hakujiu tena! Hata hivyo taarifa muhimu kama za hao mawakala n.k.Asanteni.TANGAZO ,:wale woote wanaofanya biashara comoro AMA wanataka kwenda kutazama fursa comoro bas meli IPO inapakia sasa..wahi nafas mnaotaka kwenda kutazama fursa bas ni wakat mzur wa kupakia mzigo kidogo ili kuweza kucover cost ...asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeweka hata namba ya agent mmojana meli ni ngumu mtu kujua couse kila mzigo unachaj yake ...ndo mana tunashaur mtu atafute Agence ampe maelekezo
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna mwenye mawege madin haya niliyatoa huu uzi wa 3 sasa ...kama mtu umeshindwa kufatilia umejikuta upo kati ulizi kistaarabu ueleweshwe lakn kuna mijitu inajikuta ndo yenyewe kila kitu wanakijua Wao..
Sasa na wewe matusi ya niniKwezi ninyi watu wa Pwani mazuzu sana ndo mnalawitiwa sana, unaulizwa nauli ya usafiri wa majini wewe unaleta nauli ya ndege, haya taja na nauli ya basi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
nahis una stress za maisha .....tafuta zerish 89 alipoanzia hii mada ndo utajiona mjinga na huu uzi haukuhusu wwLabda haya nitakayosema yatakuwa yamepitwa na wakati, LAKINI nadhani hilo tangazo liliwalenga "FOOLS" kwani Aprili Mosi ni "FOOLS DAY"! Ndiyo maana zerish89 hakujiu tena! Hata hivyo taarifa muhimu kama za hao mawakala n.k.Asanteni.
achana nae wengne wana stress za maisha wanajikuta umu ndo pa kupooza machungu yao.....
We mpemba kushinda bandarini unajiona bonge la baharia, kumbe pimbi tu muuza karafuumafanikio hayakufat upo ulipo ..ww unasema mwanza to dar wakat watu wanatoka dar to comoro kuangalia tu fursa na kurud!? unapotoka mwanza kuja dar huji kuuliza meli tu pia unakuja kujifunza Namna ya kuexport mizigo ya comoro na kujua siasa zoote ..labda kama huitaj kufanya biashara ndo utabak kutaka kila kitu uletewe mwisho wa siku unakuta data ulizopewa ma uhalisia ni tofaut
Sent using Jamii Forums mobile app
milembe pana kuhusuWe mpemba kushinda bandarini unajiona bonge la baharia, kumbe pimbi tu muuza karafuu
zerish89 acha hoja za jaziba! Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa uzi wako, lakini huwezi kutoa taarifa asubuhi au mchana ukitegemea mfanyabiashara aliyeko say Mwanza au Tanga au popote pale aje na mizigo yake apakie tayari kwa safari ya Comoro! Ndiyo maana wana JF wameuliza maswali mengi kama nauli, viza n.k. If you were or you are serious kwa kuwasaidia wana JF, taarifa hizi ungelitupa mapema at least one, two or seven days in advance. Najua unataka kuwasaidia wana Jf vinginevyo jaribu KUWA MPOLE KWA KILA COMMENT HUMU JF au siyo!?nahis una stress za maisha .....tafuta zerish 89 alipoanzia hii mada ndo utajiona mjinga na huu uzi haukuhusu ww
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna mtu alieuliza kistarabu nikaacha kumjibu na wengne wananifata mpaka private ...alieuliza Visa kajibiwa Visa..tatizo linakuja unataka uelewe kwenye comment ya mtu ..kama ni ivyo bas soma comment zote tang uzi wa kwanza utaelewazerish89 acha hoja za jaziba! Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa uzi wako, lakini huwezi kutoa taarifa asubuhi au mchana ukitegemea mfanyabiashara aliyeko say Mwanza au Tanga au popote pale aje na mizigo yake apakie tayari kwa safari ya Comoro! Ndiyo maana wana JF wameuliza maswali mengi kama nauli, viza n.k. If you were or you are serious kwa kuwasaidia wana JF, taarifa hizi ungelitupa mapema at least one, two or seven days in advance. Najua unataka kuwasaidia wana Jf vinginevyo jaribu KUWA MPOLE KWA KILA COMMENT HUMU JF au siyo!?