Wanaotaka kwenda kutazama fursa Comoro bas meli ipo inapakia sasa

TANGAZO ,:wale woote wanaofanya biashara comoro AMA wanataka kwenda kutazama fursa comoro bas meli IPO inapakia sasa..wahi nafas mnaotaka kwenda kutazama fursa bas ni wakat mzur wa kupakia mzigo kidogo ili kuweza kucover cost ...asanten

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu wahed. Yaani nipakie mtu mzigo niende nao Comoro. Mi najua huko kinauzika kitu gani? Nibebe nguo, viazi, mihogo, mchele, ndizi au nibebe electronics. Halafu ulivyo mpumbavu zaidi unasema tukapakie melini kumbe usafiri ni ndege. We ukapimwe mkojo.
 
nadhan umetoroka milembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANGAZO ,:wale woote wanaofanya biashara comoro AMA wanataka kwenda kutazama fursa comoro bas meli IPO inapakia sasa..wahi nafas mnaotaka kwenda kutazama fursa bas ni wakat mzur wa kupakia mzigo kidogo ili kuweza kucover cost ...asanten

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda haya nitakayosema yatakuwa yamepitwa na wakati, LAKINI nadhani hilo tangazo liliwalenga "FOOLS" kwani Aprili Mosi ni "FOOLS DAY"! Ndiyo maana zerish89 hakujiu tena! Hata hivyo taarifa muhimu kama za hao mawakala n.k.Asanteni.
 
nahis una stress za maisha .....tafuta zerish 89 alipoanzia hii mada ndo utajiona mjinga na huu uzi haukuhusu ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
moja ya uzi ulio nichekesha sana, naswali na majibu ya humu ni burudani tosha
 
mafanikio hayakufat upo ulipo ..ww unasema mwanza to dar wakat watu wanatoka dar to comoro kuangalia tu fursa na kurud!? unapotoka mwanza kuja dar huji kuuliza meli tu pia unakuja kujifunza Namna ya kuexport mizigo ya comoro na kujua siasa zoote ..labda kama huitaj kufanya biashara ndo utabak kutaka kila kitu uletewe mwisho wa siku unakuta data ulizopewa ma uhalisia ni tofaut

Sent using Jamii Forums mobile app
We mpemba kushinda bandarini unajiona bonge la baharia, kumbe pimbi tu muuza karafuu
 
nahis una stress za maisha .....tafuta zerish 89 alipoanzia hii mada ndo utajiona mjinga na huu uzi haukuhusu ww

Sent using Jamii Forums mobile app
zerish89 acha hoja za jaziba! Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa uzi wako, lakini huwezi kutoa taarifa asubuhi au mchana ukitegemea mfanyabiashara aliyeko say Mwanza au Tanga au popote pale aje na mizigo yake apakie tayari kwa safari ya Comoro! Ndiyo maana wana JF wameuliza maswali mengi kama nauli, viza n.k. If you were or you are serious kwa kuwasaidia wana JF, taarifa hizi ungelitupa mapema at least one, two or seven days in advance. Najua unataka kuwasaidia wana Jf vinginevyo jaribu KUWA MPOLE KWA KILA COMMENT HUMU JF au siyo!?
 
hakuna mtu alieuliza kistarabu nikaacha kumjibu na wengne wananifata mpaka private ...alieuliza Visa kajibiwa Visa..tatizo linakuja unataka uelewe kwenye comment ya mtu ..kama ni ivyo bas soma comment zote tang uzi wa kwanza utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom