na huu uzi ni MDA mrefu sana mtu anakuja now tang tar 1 Leo mpaka leo mbona wengne wanaoelewa now washapakia na meli imeshaondoka pia nilileta huu uzi kwa wote wanaotaka kujifunza biashara ya comorozerish89 acha hoja za jaziba! Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa uzi wako, lakini huwezi kutoa taarifa asubuhi au mchana ukitegemea mfanyabiashara aliyeko say Mwanza au Tanga au popote pale aje na mizigo yake apakie tayari kwa safari ya Comoro! Ndiyo maana wana JF wameuliza maswali mengi kama nauli, viza n.k. If you were or you are serious kwa kuwasaidia wana JF, taarifa hizi ungelitupa mapema at least one, two or seven days in advance. Najua unataka kuwasaidia wana Jf vinginevyo jaribu KUWA MPOLE KWA KILA COMMENT HUMU JF au siyo!?
ww ndo umekuja Wang Wang ukadhan ni udaku kama unataka kuelewa kupitia comment za watu bas fatilia tang mada ya kwanza ya huu uzi ...kujikuta mjuaji tuuuHizo ndizo akili za baadhi ya watanzania wenzetu.Kajua yeye Jambo kaja humu wangu wangu kama kuku aliyekatwa kichwa ghafla.Anaulizwa maswali eti twende Bandari.Ni akili za DHAIFU mno hizo.
Lete habari mapema zerish89 hiyo ndiyo HOJA. Suala la muda ni sehemu ya mada! EARLY data and info on time is one of successful business principles!na huu uzi ni MDA mrefu sana mtu anakuja now tang tar 1 Leo mpaka leo mbona wengne wanaoelewa now washapakia na meli imeshaondoka pia nilileta huu uzi kwa wote wanaotaka kujifunza biashara ya comoro
Sent using Jamii Forums mobile app
ww hutaweza kuelewa sababu huu uzi wa meli una wiki mbili sasa ww umekuja now sasa nikusaidiaje !? ninachokushaur kama unahitaj kujua biashara comoro uliza maswal nitakujibu hapa ...swala la meli achana nalo hii post sio ya Leo watu wote waliopata data izi tang nimezitoa washazifanyia kazLete habari mapema zerish89 hiyo ndiyo HOJA. Suala la muda ni sehemu ya mada! EARLY data and info on time is one of successful business principles!
thanks sana [emoji120] ubarikiweBinafsi Mtoa mada nishamuelewa, kwa kua nimemfuatilia tangu Uzi wa kwanza Kabisa, unaohusu fursa za biashara ndani Ya comoro,
Kama unavyojua binadamu hayupo mkamilifu, Ukiamini Hilo mtoa mada huwezi kumtukana, ni kweli Mtoa mada Ana mapungufu katika uwasilishaji wake wa huu Uzi,, kwa asiyejua kua huu Uzi Ni mwendelezo wa uzi uliopita ambao upo katika jukwaa hili hili la biashara,, Ili kurahisisha Mtoa Uzi alitakiwa auweke Uzi huu katika Uzi ambao wa mwanzo kuutoa Ili huwe Kama Update..!!!
mafanikio hayakufat upo ulipo ..ww unasema mwanza to dar wakat watu wanatoka dar to comoro kuangalia tu fursa na kurud!? unapotoka mwanza kuja dar huji kuuliza meli tu pia unakuja kujifunza Namna ya kuexport mizigo ya comoro na kujua siasa zoote ..labda kama huitaj kufanya biashara ndo utabak kutaka kila kitu uletewe mwisho wa siku unakuta data ulizopewa ma uhalisia ni tofaut
Sent using Jamii Forums mobile app
shukran sana mkuuMleta mada nimekuelewa sana,watanzania ni wavivu wa kufikiri sana wanataka uwaambie ni meli gani na wakati gani inaondoka ili watu wakakamatwe ili hali wanajua hizo ni mishe za watu mjini
Binafsi Mtoa mada nishamuelewa, kwa kua nimemfuatilia tangu Uzi wa kwanza Kabisa, unaohusu fursa za biashara ndani Ya comoro,
Kama unavyojua binadamu hayupo mkamilifu, Ukiamini Hilo mtoa mada huwezi kumtukana, ni kweli Mtoa mada Ana mapungufu katika uwasilishaji wake wa huu Uzi,, kwa asiyejua kua huu Uzi Ni mwendelezo wa uzi uliopita ambao upo katika jukwaa hili hili la biashara,, Ili kurahisisha Mtoa Uzi alitakiwa auweke Uzi huu katika Uzi ambao wa mwanzo kuutoa Ili huwe Kama Update..!!!
Achana nae huyo anajaza uzi kijinga tu kwa upumb*vu wake tuendelee kujadili yanayojiri na kupeana mrejeshohakuna mtu alieuliza kistarabu nikaacha kumjibu na wengne wananifata mpaka private ...alieuliza Visa kajibiwa Visa..tatizo linakuja unataka uelewe kwenye comment ya mtu ..kama ni ivyo bas soma comment zote tang uzi wa kwanza utaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba ya cm ya agent pls?na meli ni ngumu mtu kujua couse kila mzigo unachaj yake ...ndo mana tunashaur mtu atafute Agence ampe maelekezo
Sent using Jamii Forums mobile app
nauli kwa ndege ni lak 7
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOT
Mtoa mada mbona km haupo serious,yan mwenzio kauliza nauli ya meli sh ngapi we unamwambia nauli ya ndege lol