Mkandara, haya ndiyo nilikuwa nasema; sasa huyo Mbunge kweli kabisa ameapa kuwa atakuwa "mwaminifu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" halafu anapewa jukwaa la kuzungumzia kuivunja Jamhuri hiyo na watu hawaoni tatizo?. It boggles my mind.
Fafanua uhalalai upi wa kikatiba ba kisiasa, kauli yako ina hang!Njia iliotumika ni tofauti sana na kile ulichopendekeza huko juu Mkuu.
Muungano umekosa uhalali wa kisiasa na kikatiba.
Wakati wa kuunganishwa nchi mbili huru hizi hakuna kura ya maoni iliopigwa kuulizwa iwapo tunaridhia au la.
Sasa tupige kura ya nini tukitaka kurudi katika hali yu kama zamani?
Mkuu "muungano" huu ni bomu, uvunjie tu.
Swala la serikali tatu halivunji Muungano ni sawa na kufanya marekebisho ktk katiba.Mwanakijiji kwa mtazamo wako
Nadahni wale jama nao agenda yao ilikuwa serikali tatu . Vipi unalichukuliaje hilo ?
- issues ya Mzee malechela PM akiwa kipindi kile kurushu Hoja ya muungano ya wale G52 kama sikosei ujadiliwa bungeni ( kina njelu kasaka)
Excellent!Nadhani hii ndio maana ya Mwanakijiji.... lakini pamoja na yote haya nadhani utaratibu wa mbunge kuleta hoja ya katiba au Muungano ni lazima iwe ktk maudhui yasiyokiuka ethics - Principle
Mwanakijiji kwa mtazamo wako
Nadahni wale jama nao agenda yao ilikuwa serikali tatu . Vipi unalichukuliaje hilo ?
- issues ya Mzee malechela PM akiwa kipindi kile kurushu Hoja ya muungano ya wale G52 kama sikosei ujadiliwa bungeni ( kina njelu kasaka)
Kinachojitokeza ni watu kutaka kukiuka taratibu kwa nia ya kuchochea. Tanganyika kama Wzbar wamechoshwa na malalamiko dhidi yao.
Taratibu zinaruhusu hoja zijadiliwe, lakini utaratibu wa kuamka na kusema tuvunje muungano tena kwa yule yule aliyekubali sera za chama chake na katiba chini ya kiapo ni aina ya 'uasi'. Kwani kuna ugumu gani kufuata taratibu kufikia hitimisho?
(Imetajwa katika ibara 98 (1) (b))
Mambo ambayo mabadiliko yake yahitaji kuungwa mkono na
theluthi mbili ya Wabunge wote kutoka Tanzania Bara na theluthi
mbili ya Wabunge wote kutoka Tanzania Visiwani.
1. Kuwapo kwa Jamhuri ya Muungano.
2. Kuwapo kwa Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano.
3. Madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
4. Kuwapo kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano.
5. Madaraka ya Serikali ya Zanzibar.
6. Mahakama Kuu ya Zanzibar.
7. Orodha ya Mambo ya Muungano.
8. Idadi ya Wabunge kutoka Zanzibar
Well, hawa walioapa kuilinda Katiba wanajua hiyo Katiba inasema nini ili kuwez akuuvunja Muungano. Katiba inasema hivi:
Utaona kuwa kuvunja Muungano siyo kazi hivyo. Kama kweli kuna watu wanataka Muungano uvunjwe, hawahitaji kumuuliza Waziri Mkuu au hata Rais, threshold imewekwa chini kweli, haiitajiki hata referendum! BlW na BJMT wanaweza kukubaliana hata kesho na kuazimia Muungano usiwepo na Muuingano unafutika. Ni namba hiyo hiyo ilitumika kuuleta. BlW la Zanzibar lilipiga kura theluthi mbili kuridhia Muungano, na Bunge la Tanganyika likafanya hivyo hivyo (April 22, 1964) na siku nne to baadaye Muungano ukawepo. Hata leo, wakitaka kuvunja tunauvunja tu bila haja ya referendum kwama wenginwanavyotaka. Kama wawakilishi wa watu wanasema tuvunje na theluthi mbili za kila upande wa Muungano zikakubaliana - na ninaamini Zanzibar watatakiwa waanze - basi Muungano kwishnei. Of course watahitaji kushughulikia mambo yoteeee mengine ndipo watajua gharama ya kuvunja Muungano itakuwaje.
Naomba upitie kijitabu cha Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania - kipo hapa. Nashukuru kuwaona siku hizi kina Sitta na wenzie wameanza kureason kwa namna ile ile ya Nyerere. Ninachokisema hapa ndicho Nyerere pia alikisema. Sera ya CCM ni serikali mbili, wabunge wake 55 hawakuwa na mandate ya kuja na serikali tatu. Aliwaambia wakitaka kwenda serikali tatu, lazima kwanza wabadilishe sera ya serikali mbili.
My Take: On perspective of the on going discussion in JF, it is apparent that Hon.Mansoor wants to confuse the public by echoing the words from different forums which he condemns ab initio.Zanzibar minister says 2-government structure `outdated`
By The guardian reporter
15th July 2011
Comments :Zanzibar Minister for Agriculture and Tourism Mansoor Yussuf Himid said yesterday that the two-government arrangement in the Union between Zanzibar and Tanganyika "is outdated."
He told the House of Representatives here that an ideal arrangement was that of three governments – the union, Zanzibar and Tanganyika government.
Himid cautioned against using forums for discussing the union to threaten people, especially Zanzibaris, airing their views freely on the best form of the Union between the two countries.
He said it was surprising to see some leaders in the National Assembly repeatedly maintained that oil resource didn't belong to Zanzibar on grounds that the deposits were located in the ocean border between Tanga and Zanzibar.
"I don't want to disclose their names…they are trying to threaten the people," he said.
He elaborated that the three government arrangement was the best approach for the two countries, which formed the United Republic of Tanzania way back in 1964, "to free Zanzibaris from uncalled for threats."
"We are supposed to educate Zanzibaris on how to discuss about the Union," said Mansoor, who is also member of the powerful ruling CCM national executive committee.
Mansoor added that Zanzibaris should not fear stating openly that they need a system that would free them from ongoing debates.
He said the decision by the House to demand removal of oil and natural gas from the list of union matters few years ago was still valid and should be accepted."Honourable Speaker, I won't accept the issue of natural gas and oil remaining on the list of union matters," stressed MansoorZanzibar Minister for Lands, Housing, Water and Energy Juma Shamuhuna encouraged the people in the Isles to push ahead with one voice the decision to strike off the list of union matters both oil and gas.
Fafanua uhalalai upi wa kikatiba ba kisiasa, kauli yako ina hang!
Si nchi zote zilizoungana zilikuwa na kura ya maoni (kwahiyo hiyo si formula) mfano mzuri ni Canada. Quebec walipolilia kujitenga iliitishwa kura ya maoni(miaka 1980 na P.Trudeau) majority wakakataa. Hata baada ya hapo kukawa na separatist wanaojiita Block Quebecoir ambao walikuwa na hoja kama za Wzbar. Uchaguzi uliokwisha wananchi wa Quebec wamewaona wapuuzi kwa madai ya kijinga ili hali wanaofaidika ni wao. Katika viti 50 wamepata 3 tu na suala la kujitenga limefia mbali. Halikuwa na maslahi ya watu bali kikundi cha walafi fulani.
Kuna wakati watu wanadhani Wzbar hawataki muungano, ukweli ni kuwa ni kikundi cha watu wachache wenye kelele sana na waroho. Kama Wzbar hawataki muungano tusingewaona malaki wakifanya biashara na ajira za bara. Tusingeona wanajenga majumba bara ili hali nyoyo zao hazipataki. Huwezi ku invest mahali usipopataka! kwanini hawakwenda Malindi, Ngazija, Comoro au Somalia! tena huko wapo wa nywele zao.
Unaposema muungano ni bomu uvunjike, ni afadhali usingesema. Tulitarajia utuambie uvunjike kwa taratibu zipi!
Southern Sudan wamejitega lakini kuna utaratibu bado unafuatwa kuhakikisha maslahi ya wananchi yanalindwa.
Tukisema vunja tu asubuhi moja kama unavyoshauri, watakaoumia ni Wbar maana Mtanganyika ana nini cha kupoteza!!!!
Toa na Jenga hoja na ufafanue ukizingatia mada iliyopo mbele bila kuvuruga mtiririko wa mjadala.
Mkuu Tanzania sio nchi ya kwanza kuungana na muungano wao ukawa halali. Hizo taratibu ulizozisema, mimi naomba unipe nchi ambazo imezipitia zote hivyo kuweka mfumo kamili wa uhalali ktk Muungano wa nchi mbili laa sivyo ni mawazo yako wewe mwenyewe. Act of Union pia inategemea na kila nchi, Uingereza wao wameunganisha koloni zao ambazo zote zilikuwa na mtawala mmoja. Wao wana serikali lakini chini ya Utawala wa Queen, hivyo historia ya nchi hiyo ndiyo inatunga muundowa act..Uhalali wa "muungano" huu haupo tangu pale ulipoundwa maana Articles of Union hazikufuatwa. Makubaliano yalivunjwa kwani hakukuundwa Bunge la Katiba kupitisha Katiba hii ya "muungano" na badala yake Bunge lililokuwepo kutumika kufanya hivyo.
Kisiasa, wananchi hatukuulizwa ridhaa yetu iwapo tunataka au laa.
Baraza la Mapinduzi halikuridhia "muungano" huu.
Mkataba wa "muungano" huu umedaiwa Mahkamani na haukutolewa.
Huo ndio uhalali ambao nauzungumzia.
Hii habari ya kuwa Wazanzibari wanajenga, ku invest na kufanya biashara ni kutumia fursa tu iliopo ambayo ni matokeo ya fitna alioleta Nyerere Zanzibar. Wazanzbari kwa makundi walihamia bara baada ya Mapinduzi ambayo mkono wa Nyerere umo. Walikimbia mateso waliokutishwa na wakakimbilia hapo karibu na ambapo walihakikishiwa usalama wao. Ujue kuwa Wazanzibari wapo sehemu nyingi duniani ingawa si uomgo kuwa hapo bara wako wengi. Wazanzibari wametumia fursa ambayo nyinyi hamkuiona kabla. Ni hivi karibuni tu ndio mmeanza kuzinduka katika usingizi wenu mzito.
"Muungano" huu wa Serikali mbili utake usitake ni kiini macho tu cha kuitawala Zanzibar kinyemela.
,"Without any question, the manner and the implications of the union between Tanganyika and Zanzibar is the most misunderstood aspect of Tanzania's political development. It may not matter very much when foreigners get confused, but unfortunately there are many times when Tanzanians themselves appear to misunderstand it."
Wazanzibari sasa wameona huu "muungano" hauwafai na sasa wanachotaka ni kujipapatua na uvamizi wa Tanganyika. Ndio maana hivi sasa hata viongozi wa SMZ na CCM wanakuja juu.
Hata baba yenu alijua hivyo kuwa yatatokea:
"Ikiwa watu wa Zanzibar, bila ya kuingiliwa na watu wa nje na ikiwa wana sababu zao, wakaamua kuwa Muungano umekuwa kero kwa maisha yao, na kwamba hauna maslahi na wao sitowalazimisha kubakia na Muungano huo. Muungano huu utasita pale tu NCHI shiriki itakapoamua kujitenga" by Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
The end justifies the means Mkuu, Wazanzibari walio wengi hawautaki "muungano" huu na hilo linajulikana na hata nyinyi.
Kinachosaidia mpaka sasa ni hawa viongozi wachache wahafidhina na wanaofaidi katika mfumo huu lakini kila kukicha, Wazanzibari wanazidi kuelewa na kuunganisha nguvu zao katika kuudai Utaifa wao ulioporwa na mtake msitake mtaondoka tu
Zanzibar for Zanzibaris
Sioni kosa lolote hapa isipokuwa Kiitikadi! Kama mbunge wa CCM anaamini kuundwa kwa serikali tatu, nadhani kisiasa anatakiwa ajiondoe chama hicho na kwenda chama chenye malengo hayo..UCCM ni pamoja na kulinda muungano wa serikali mbili.Zanzibar minister says 2-government structure `outdated`