Nawakaribsha wana JF msikilize wenyewe hotuba aliyotoa mtoto wa mmoja wa founders of Hamas, aliyoitoa kwenye Bunge la Ulaya.
Kwa kifupi jamaa huyu anauonya umoja wa ulaya kuwa dhana nzima ya utaifa wa Palestine ni njama ambazo Yasser Arafat akisaidiwa na KGB ya Soviet Union walibuni kwa manufaa binafsi.
Kwanza Kabisa Arafat ni Mmisri kabisa, ikatokea tu babayake kupitia biashara akapata makazi Raffa. Anaendelea kuwaonya kuwa nyuma ya pazia Arafat alikuwa mwanachama wa Muslim Brotherhood ambao agenda yao ya kusimamisha world islamic caliphate inajumuisha kuanza kutwaa mji wa Jerusalem, Al-Andalus (Spain wanayodai ni mali ya waislamu).
Kuna mambo mengine mengi nawasihi mjisikilizie wenyewe ili mtoe maoni
View: https://x.com/MosabHasanYOSEF/status/1849234753234342359