Wanaotaka Sharia katika nchi za Uingereza na Ujerumani ni wakati sasa kutilia maanani onyo analotoa Mosab Youssef?

Wanaotaka Sharia katika nchi za Uingereza na Ujerumani ni wakati sasa kutilia maanani onyo analotoa Mosab Youssef?

Hata hawafukuze ila tunataka vurugu kidogo ili mpate maumivu ...Hana uwezo wa kuwafukuza wate 😀 😀 😛 labda na yeye asiende nchi za waislamu ...
20241017_163527.jpg

Mzoga wa Gaidi wenu mbona hamuendi kuuchukua?!
 
Mbona hao waarabu hawahamii uchina, japani na korea wakaeneze uislam wao huko? Kutwa nzima ni kukimbilia ulaya na marekani. Watungiwe sheria ni marufuku kuwa muislam katika nchi hizo, ukifika acha uislam fuata mila na desturi zao za kimagharibi
 
Kuna vitu najiuliza sana, kabla ya 1948, Palestina, Jordan, Lebanon nk zilikuwa na amani na waliishi vizuri, shida ilianza hapo 1948.

Tunapowashutumu waarabu kujazana Ulaya, tuangalie pia interference ya USA kwenye nchi zao na kuleta maafa,Leo wanazikimbia kwenda Kwa waliowaletea machafuko tunaanza kuwaona wakorofi.

Libya, Iraq, Syria nk zilikuwa na amani lakini ni USA na NATO ndio waliozivuruga.
Saudia yalipogunduliwa mafuta miaka fulani nyuma huko ndio USA akajipeleka na kuwachonganisha na Iran na ndio ikawa shida pale Iran baada ya mapinduzi ya Iran.

Waarabu wameamua kwenda kudestabilize Ulaya na America kama wao walivyodestabilize Mashariki ya kati Kwa interest zao
 
Si mnataka Violence dhidi ya "Makafiri"...
Naona unaumia na vita haikuhusu ....Endelea kutemewa mate ...Hakuna muislamu atamtukana yesu hata siku baki na ujinga wako .

Unachukia watu wala hawakujui , pambana na umaskini wa kwenu . 😛 😛 😛
 
View: https://x.com/CensoredMen/status/1715190607570702796 Mnatemewa mate ila waislamu ni wanaume , kinawaka .

Wewe mjinga kweli kweli! na hizo mbinu zenu za kizamani za kuwafanya wakristo wawachukie wayahudi kwa sasa hazina nafasi. Hatushangai huko kubadili kwenu mbinu yenu ya Taqqya kwa sababu mmejifunza toka kwa kaallah kenu yule tunayemjua kwa jina la shetani. Tofauti za kidini hizo zipo tu. Ila inapokuja kwenu nyinyi waabudu wa shetani, nyinyi ni janga la Dunia kwa sababu mnatumia tofauti hizo kuchinja watu wa jamii nyingine. Huwezi sikia myahudi ( kwa sababu ya dini yake) amemuua mkiristo au muislam. Kule judea na samaria nyinyi waislam ndiyo mnaanzisha ugomvi
 
Wewe ndiyo fala kabisa , uko dunia ya ngapi? Yaani mjinga unaambiwa ukweli unabisha ...Rudi ukasome hujui chochote kile unaongea kwa kulazimisha urafiki na hao watu wala hawataki wenyewe .

Unaijua sheria ya Jews dhidi ya wakristo ? Yaani unalia kisa nimeonesha suala la kweli 😛 😛 kwa kweli bado unaamini ujinga ....

Screenshot (494).png
 
Warudishe Watu waliowateka waweke Silaha chini kisha Wasarende.

Waarabu wameteseka vya kutosha.
Wao wanashikilia maelfu ya wapalestina tena watoto kabisa kabla ya hapo .

Ni lini palestina waliishi kwa amani pale , wako magerezani miaka na miaka huyo sinwar alifungwa tangu miaka ya 80's.
 
Wao wanashikilia maelfu ya wapalestina tena watoto kabisa kabla ya hapo .
Usijifananishe na wao wewe huna nguvu umekalia sharia Law wenzio wanagundua AI.

Kuwa mpole kaa nao Mezani ukishupaza shingo wanaweza kukufuta ikabakia story.
 
islam-at-war.jpg

Hebu angalia hizi chuki ati wanataka Mtu aliyekula Nyama ya kuchoma ya Nguruwe iliyopakaliwa Pilipili auwawe.😆

Hebu fikiria Muingereza anavyopenda Nyama ya Nguruwe ati aache afuate "Stone Age" Sharia Law.
 
Usijifananishe na wao wewe huna nguvu umekalia sharia Law wenzio wanagundua AI.

Kuwa mpole kaa nao Mezani ukishupaza shingo wanaweza kukufuta ikabakia story.
Kwa hiyo sharia na AI mbona ni vitu viwili tofauti , kwa hiyo katiba ya marekani ni AI 😛 😛 😀 😀 Umaskini mbaya sana, unaongea vitu havina uhusiano .

wenzio wana teknolojia zote unafikria zile rocket wantumia uchwi wa kwenu huko .
 
Usijifananishe na wao wewe huna nguvu umekalia sharia Law wenzio wanagundua AI.

Kuwa mpole kaa nao Mezani ukishupaza shingo wanaweza kukufuta ikabakia story.

Wenzio washawekeza wana kila kitu , wewe huko kijijini kwenu ....Tangu miaka ya nyuma wenzio wanatumia , wewe umeanza kuona Chatgpt mwaka huu unafikria ndiyo unayejua kila kitu . 😀 😀 😀 😀

Pale meccah kuna flying tax, wewe unaongelea hata hiyo AI hujui ...Dogo usiropoke .!😀😀😀
Screenshot (496).png
 
Kwa hiyo sharia na AI mbona ni vitu viwili tofauti , kwa hiyo katiba ya marekani ni AI 😛 😛 😀 😀 Umaskini mbaya sana, unaongea vitu havina uhusiano .
Unajua sana ninacho ongelea sema unajirusha ufahamu tu.
 
Back
Top Bottom