Wanaotaka Tanzania ya kabla ya Oct 29, 2025 poleni hairudi!

Wanaotaka Tanzania ya kabla ya Oct 29, 2025 poleni hairudi!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Wanaotaka Tanzania ya kabla ya Oct 29, 2025 poleni hairudi!. Sio baada ya watu kutekwa hivi, kufungwa bila sababu, vijana kusimama kwa haki na mauaji makubwa kiasi hiki. Sio wa ufisadi wa waajiriwa wa serikali na upendeleo wa wazi na ufamilia ndani na nje ya vyama. Sio baada ya unyanyasaji mkubwa wa viongozi wa dini.

Tanzania mpya inakuja tutake au tusitake. Badala ya kupoteza muda ni bora tujipande na kuwa na katiba bora kwa taifa. Bila hivyo tutakimbia na kurudi palepale
 
Mtu ana mikono ya damu alafu kukupa nchi kwa maneno ni ngumu.
FB_IMG_1765382395912.jpg
 
Back
Top Bottom