Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
Mimi ubungo..! Nipo seriousSema unataka kugombea jimbo gani na chama gani ili upate ushauri na Watu wa kukuunga Mkono....
Mimi nagombea Mtera-Dodoma.
Chama-Chadema
2020-2025
Naomba kama naweza kupata ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Jimbo la manonga 2020-2025 mgombea binafsiSema unataka kugombea jimbo gani na chama gani ili upate ushauri na Watu wa kukuunga Mkono....
Mimi nagombea Mtera-Dodoma.
Chama-Chadema
2020-2025
Naomba kama naweza kupata ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Nothing wrong to think big!Naona Vijana pilau la Christmas limeanza kufanya kazi baada ya siku kadhaa kupita.
Ngoja nisubiri na pilau la mwaka mpya pengine hili litakuja na Vijana wanaotaka kugombea urais 2020.
NB: PILAU ZA SIKUKU HAZIJAWAHI KUMUACHA MTU SALAMA KUWENI MAKINI NAZO SANA.
Wabunge wajao mnaweza kuendelea na mjadala.. nitakuja Tena 2020 jan2 baada ya pilau la mwaka mpya kufanya yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchu
Natafakari kugombea na kumng'oa Mwakyembe Kyela ( iwapo chama kitaona nafaa )
Mwe bhalumyana bha mwa Kyela umwe amukhunghogha Mwakyembe umwe !Wilaya ya Kyela hakuna namna mzee Mwakyembe inabidi atuachie vijana wenye uchungu na Kyela yetu, japo mi ni kijana mdogo sana ila kama Chama kitaniamini na uchaguzi wa Kura za maoni ukawa wa huru na Haki basi tutatoshana kwenye kura za maoni Vijana wenzangu wa Bujonde,Busale, Ibanda na Kyela mjini nakuja
Sent using Jamii Forums mobile app