Uchaguzi 2020 Wanaotaka ubunge 2020 tukutane hapa

Uchaguzi 2020 Wanaotaka ubunge 2020 tukutane hapa

Kila la kheri wapinzani wanoonyesha nia ya kugombea ila mfahamu kuwa mnaenda kucheza mechi na marefa badala ya wachezaji wenzenu na sijui kama mnalifahamu hilo.
 
Umeshapanga appointment na Mungu ya kukuweka hai na ukiwa na afya njema?

Kumaliza hii 2020 bado ni mtihani, sijui huwa mnawaza nini.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu mipango ni bora zaidi,kuliko huo mwaka ukakukuta upo hai lakini haujapanga lolote.
 
Back
Top Bottom