Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nitagombea la Dodoma mjini kupitia mgoombea binafsi ikipishwa nasubili kama serikali itasikia kilio chetu tusio na vyama kupeleka mabadiliko ya sheria bungeni ili tuoneshane makaliSema unataka kugombea jimbo gani na chama gani ili upate ushauri na Watu wa kukuunga Mkono....
Mimi nagombea Mtera-Dodoma.
Chama-Chadema
2020-2025
Naomba kama naweza kupata ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasukuma wako chama cha .............Najitoa Chato via CHADEMA vipi napata ? au mwenye ushauri mazee
Nishawahi bila kupingwa mbona 😲
CHAMA GANI?
Una baraka zangu zote. Hilo jimbo liko wazi. Mtafute na rafiki yako mmoja mwambie aende Kibamba. Huko ndio "kumekanda" kabisa!
Wilaya ya Kyela hakuna namna mzee Mwakyembe inabidi atuachie vijana wenye uchungu na Kyela yetu, japo mi ni kijana mdogo sana ila kama Chama kitaniamini na uchaguzi wa Kura za maoni ukawa wa huru na Haki basi tutatoshana kwenye kura za maoni Vijana wenzangu wa Bujonde,Busale, Ibanda na Kyela mjini nakuja
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutatoana jasho kwanza kura za maoni na ningeomba ziwe huru na za haki!
Najivunia sana nguvu kubwa niliyo nayo kutoka kata za Ipinda,sehemu ambayo nina nguvu mno kisiasa!
Uchaguzi wetu wa kura za maoni chini ya Mzee Kasyupa ukiwa huru na wa haki,nitashinda
Tukutane kura za maoni kaka!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Natafakari kugombea na kumng'oa Mwakyembe Kyela ( iwapo chama kitaona nafaa )
Kwa Usongo Nalipigia jalamba Jimbo la Kongwa.
Nimejipanga vyema Mkuu....hapa namalizia ujenzi wa chama kwenye ngazi ya chini kabisa kwa maeneo ya Kimkakati
Sent using Jamii Forums mobile app