Uchaguzi 2020 Wanaotaka ubunge 2020 tukutane hapa

Uchaguzi 2020 Wanaotaka ubunge 2020 tukutane hapa

Mambo hayakwenda kama nilivyotarajia ila nilitaka kwenda nyumbani Arusha katika moja wapo ya majimbo.

Kwahiyo nitabaki tu kama mpiga kura katika jimbo la kinondoni hapa DSM.
 
Sema unataka kugombea jimbo gani na chama gani ili upate ushauri na Watu wa kukuunga Mkono....

Mimi nagombea Mtera-Dodoma.
Chama-Chadema
2020-2025

Naomba kama naweza kupata ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nitagombea la Dodoma mjini kupitia mgoombea binafsi ikipishwa nasubili kama serikali itasikia kilio chetu tusio na vyama kupeleka mabadiliko ya sheria bungeni ili tuoneshane makali
 
Chama cha majambazi kisije hapa, wao wasubirie matokeo mezani...uwezo wa hoja hawana
 
Screenshot_20200205-205703_Chrome.jpg
 
Msiparuzane lakini
Wilaya ya Kyela hakuna namna mzee Mwakyembe inabidi atuachie vijana wenye uchungu na Kyela yetu, japo mi ni kijana mdogo sana ila kama Chama kitaniamini na uchaguzi wa Kura za maoni ukawa wa huru na Haki basi tutatoshana kwenye kura za maoni Vijana wenzangu wa Bujonde,Busale, Ibanda na Kyela mjini nakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutatoana jasho kwanza kura za maoni na ningeomba ziwe huru na za haki!

Najivunia sana nguvu kubwa niliyo nayo kutoka kata za Ipinda,sehemu ambayo nina nguvu mno kisiasa!

Uchaguzi wetu wa kura za maoni chini ya Mzee Kasyupa ukiwa huru na wa haki,nitashinda

Tukutane kura za maoni kaka!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Natafakari kugombea na kumng'oa Mwakyembe Kyela ( iwapo chama kitaona nafaa )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom