No Escape JF-Expert Member Joined Mar 7, 2016 Posts 6,663 Reaction score 7,785 Apr 4, 2020 #101 Nipo hapa Mwimbili...
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 14,885 Reaction score 18,083 Apr 4, 2020 #102 Kila la kheri wapinzani wanoonyesha nia ya kugombea ila mfahamu kuwa mnaenda kucheza mechi na marefa badala ya wachezaji wenzenu na sijui kama mnalifahamu hilo.
Kila la kheri wapinzani wanoonyesha nia ya kugombea ila mfahamu kuwa mnaenda kucheza mechi na marefa badala ya wachezaji wenzenu na sijui kama mnalifahamu hilo.
Mathias Raymond Nyakapala JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 2,181 Reaction score 1,493 Dec 25, 2020 Thread starter #103 Safari ya Kugombea inaendelea 2025-2030 Jimbo langu Chamwino
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Dec 25, 2020 #104 Mathias Raymond Nyakapala said: Safari ya Kugombea inaendelea 2025-2030 Jimbo langu Chamwino Click to expand... Umeshapanga appointment na Mungu ya kukuweka hai na ukiwa na afya njema? Kumaliza hii 2020 bado ni mtihani, sijui huwa mnawaza nini.
Mathias Raymond Nyakapala said: Safari ya Kugombea inaendelea 2025-2030 Jimbo langu Chamwino Click to expand... Umeshapanga appointment na Mungu ya kukuweka hai na ukiwa na afya njema? Kumaliza hii 2020 bado ni mtihani, sijui huwa mnawaza nini.
Mathias Raymond Nyakapala JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 2,181 Reaction score 1,493 Dec 25, 2020 Thread starter #105 Matola said: Umeshapanga appointment na Mungu ya kukuweka hai na ukiwa na afya njema? Kumaliza hii 2020 bado ni mtihani, sijui huwa mnawaza nini. Click to expand... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mkuu mipango ni bora zaidi,kuliko huo mwaka ukakukuta upo hai lakini haujapanga lolote.
Matola said: Umeshapanga appointment na Mungu ya kukuweka hai na ukiwa na afya njema? Kumaliza hii 2020 bado ni mtihani, sijui huwa mnawaza nini. Click to expand... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mkuu mipango ni bora zaidi,kuliko huo mwaka ukakukuta upo hai lakini haujapanga lolote.