Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

Rwegasira nimemsikia juzi ameokoka pale kwa Kuhani Mussa, Mwenge Mpakani
Chakushangaza anasema yeye ni mtumishi wa Mungu, Halafu anamiliki Kanisa lake lakini haamini sana kwenye Maombezi hapo nikashangaa kweli.

Mguu wake mmoja ulipooza ila amepata uponyaji aise.
 
Wana JF,

Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion kwa sasa hana hata bodaboda.

Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubali, wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
Ikibinda nkoi
 
Back
Top Bottom