Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

huyu mzee ni dhurumati acha apande Daladala wakina Ndanda Kosovo (RIP) walipokuwa wanamdai haki zao akawapeleke Segerea(kisa cha kujiita wajelajela original) malipo hapa hapa duniani
Alianza dhuruma siku nyingi akiwa mkoani alitaka kutudhulumu nyumba baada ya kupanga, alikuwa mtata mke wake WA pili alikuwa Benki alikwiba mahela ndio kwenda kuanzisha hiyo Silent,kama ni kweli kachoka basi malipo yapo hapahapa.
 
Kufulia kwake unanufaikaje? Pambana na hali yako
 
Wakuu mmenipa hamasa ya kutafuta pesa. Nataka nami niheshimike niwe natajwa na watu nisiowajua. Nikutane na mtu leo, baada ya miaka kumi awe na kumbukumbu zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana JF,

Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion . kwa sasa hana hata bodaboda.

Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubali, wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
Mbona hilo linatokea kwa wengi sana. Hata wewe mwenyewe unayeandika hio mada ukishika hela ya maana sana ya mamilioni mengi sana kwa mara ya kwanza lazima uichezee sana kwanza.
 
Wana JF,

Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion . kwa sasa hana hata bodaboda.

Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubali, wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
Duuh inastaajabisha sana.
Kwa hiyo jamaa alikosea wapi katika kuwekeza ili na sisi tujifunze mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafta kama za diamond hutasahaulika milele
Hata Diamond sasa hivi mambo yatazorota. Japo sasa ni yeye mwenyewe kufanya maamuzi sahihi ambayo yatamwezesha kuvuka wakati huu salama. Ni kweli hatasahaulika milele, lakini umaskini unaweza kumtokea. Fikiria watu kama Mike Tyson waliokuwa na hela balaa ila wakaja kufulia kabisa. Japo Tyson aliweza tumia umaarufu wake maisha yaende. Japo utajiri wa zamani aliokuwa nao ndio bye bye.
 
W
Duuh inastaajabisha sana.
Kwa hiyo jamaa alikosea wapi katika kuwekeza ili na sisi tujifunze mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengi wanaoshika hela nyingi kwa mara ya kwanza wanafanya kosa la watu wanaowazunguka. Wanaokuwa na watu ambao ni wanyonya damu tu. Wanakula tu hela yako, haizalishi. Hawakupi ushauri wa maana, hausongi mbele. Wanakupa tu kichwa sababu ni Yes men ili kuendelea kukupendeza uzidi kuwapa hela. Mambo yanavurugika, hela inapotea, nao wanakimbia ndio wanakuwa wa kwanza kukusema.

Kwa hio asilimia kubwa ni watu mtu wanaokuzunguka ikiwa ni pamoja na wanawake pia
 
Sawa nimekuelewa kwa asilimia zote coz kuna kipindi nilibahatisha visenti basi ghafla nilipata wapambe hata walikotoka hapakujulikana.
Utakuta mmekaa bar mnaongea akipita demu mkali wanakutongozoea ghafla analetwa mezani.
Mara akipita muuza viatu au suti anaitwa halafu wanaanza kukuchagulia huku wanaisifia,hii suti kali sana mkuu ni kwa ajili ya watu wa level zako,anavaaga JK hii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilivyofirisika waliyeyuka wote,ila nimeanza kuzichanga tena sasa hivi sitaki mazoea na mtu na bahati nzuri umri wangu bado haujaenda sana niko below 35.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papaa Rwegasira ni opportunist- hakua na pesa mwanzoni. Aliiona fursa akaenda kwa Micheal Njumba wa consolidated investment akakopa mpunga wa kutosha akainvest, senti zikaanza kumtembelea, akajirusha, akajirusha, akajirusha weeee na kujiachia....matumizi yakazid income akaanza kula mtaji akautafuna weee akafilisika, deni kwa Njumba hajalipa hata senti moja.

semper fidelis
 
Kwa mpaka hii leo anadaiwa?ama kweli pesa mwanaharamu.

Back
Top Bottom