Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Dhuluma hajawahi kuacha mtu salama. Alimtapeli Bwana Makoye mmiliki hatali wa silent Inn. Waliingia makubaliano kati ya Rwegasira na Makoye kuwa Rwegasira atakarabati halafu ampe percent fulani ya mapato kila mwezi ila Rwegasira apate zaidi na amiliki pale kwa muda waliokubaliana. Rwegasira akaenda fanya forgery mkataba Ile akaweka kuwa wamiliki kwa miaka 100. Halaula. Walisumbuana na sielewi ilifika wapi. Baadaye Rwegasira akaanza kufilisika. Baadaye Silent Inn ikawa inafanyikia Ibada i.e kama kanisa la kilokole. Hivyo basi hakuna dhuluma isiyokuwa na mwisho.