Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

Nahisi palivunjwa ilikuwa eneo la barabara, kabla hapajavunjwa alipageuza kanisa nako naona mradi wa kanisa ukabuma, nahisi Mungu alimshtukia mapema kuwa nia yake ilikuwa sadaka
Hahahahaha daah noma Sana , Jamaa atakuwa juu ya mawe
 
🤣🤣🤣

R.I.P Hussein Macheni
Vifo vya wasanii tz hatari, zamani nilizani Hussein Macheni anapamiliki pale magomeni. Kumbe hakuwa na nyumba Dar, alioa kamwanamke kanaitwa Ashura, baade maisha yakagoma wakaenda kukaa kwa mwanamke!! Cheni moja ilitosha kununua kiwanja mbagala lakini hakufanya hivyo akaja kuugulia shambani na kufia huko huyu Bavaria mtoto Wa mjini
 
Kweli kabisa

Alizikwa kwao Iringa
 
Wana JF,

Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion . kwa sasa hana hata bodaboda.

Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubali, wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
ukidondoka kubali jikungute anza moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jumamosi ya leo marafiki wawili wawili mimi mkono ku shavu naumia siku ya wapendanao valentine day waqt umekwenda wapi?
 
Jamaa aliokoka kwa mama Rwakatare na kutoa ushuhuda wake jinsi alivyokuwa mshirikina..alifuga mbuzi nyumbani kwake anakula wali na nyama kumbe mzimu..kosa akaenda kwao kuoa mke mdogo basi mke mkubwa akaona ufala akavunja masharti pakachimbika
 
Wacha woga hauishi kwa ajili ya watu maisha ni yako

Back
Top Bottom