Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

Walizinguana akaenda kudungua kabisa lake nalo akafeli.

Sasa si arudi akaombe msaada wa mtaji kwa huyo mpenzi wake wa zamani? Akikataa si anam-blackmail tu? Mtu unaeijua papuchi yake (wakati asingependa watu wajue) anakushindaje?
 
Ukiwa ulishuhudia hawa jamaa huwezi kuwapinganisha, unless uliwasikia tu
Rugemalira alikuwa anakuja nyumbani kwetu kuongea deal na mshua wangu.

Si mtu ninayemsikia tu.

Sijawalinganisha, nimewatenganisha.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Rugemalira alikuwa anakuja nyumbani kwetu kuongea deal na mshua wangu.

Si mtu ninayemsikia tu.

Sijawalinganisha, nimewatenganisha.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Kumbe nimeelewa matatizo yako yanatokana na nini! Wachagga tunaita makijidai
 
Kumbe nimeelewa matatizo yako yanatokana na nini! Wachagga tunaita makijidai
Kama una inferiority complex, hilo ni tatizo lako, si langu.

Mimi nimeeleza fact tu. Kuweka rekodi sawa.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
huyu mzee ni dhurumati acha apande Daladala wakina Ndanda Kosovo (RIP) walipokuwa wanamdai haki zao akawapeleke Segerea(kisa cha kujiita wajelajela original) malipo hapa hapa duniani
Duh, kumbe ndiye aliyewashughulikia.

Ila walijiita Wajelajela, hiyo original iliongezwa baada ya kumeguka.
 
No yule mamaake queen jobiso katoka Singida huko, Diana kuna mtoto alizalisha na huyu mr nice na nilichangia damu.
🤣🤣🤣

Na wewe ndio mpo kwenye foleni ya Banza stone mkuu?

Maana Diana Aston villa alikuwa hatari mkuu au habari za mjini tu?

Na yule jobiso si atakuwa na familia now?
 
🤣🤣🤣

Na wewe ndio mpo kwenye foleni ya Banza stone mkuu?

Maana Diana Aston villa alikuwa hatari mkuu au habari za mjini tu?

Na yule jobiso si atakuwa na familia now?
Banza na nice walinikuta👊
Jobiso ana family, kiwanja chetu kwa macheni ye na mamaake
 
Duh, kumbe ndiye aliyewashughulikia.

Ila walijiita Wajelajela, hiyo original iliongezwa baada ya kumeguka.
Hao ni Fm Felicien Muta aliwapeleka, wakakamatwa bar and guest pale stereo Rwegasira bendi yake ilikua mbezi beach kawakodia ghorofa zima
Na hao wajelajela walivyotoka tulikua nao masai bar mkwajuni wanapiga bonanza.
Mambo mengi mkuu tunachuna tu.
 
Silent in ipo sehemu gani?Huyo PDG alikuwa na biashara zipi ?
 
huyu mzee ni dhurumati acha apande Daladala wakina Ndanda Kosovo (RIP) walipokuwa wanamdai haki zao akawapeleke Segerea(kisa cha kujiita wajelajela original) malipo hapa hapa duniani
Siyo huyu unachanganya mambo. Ile ilikuwa ni bendi ya FM International mmiliki akiwa ni Mzee Felician Muta.
Ndanda Kosovo hakuwahi kuimba Diamond Sound hata siku moja.
 
Hivi nyumba ambayo ilikuwa Silent Inn alipanga au alikuwa mmiliki?

Ila ndio alikuwa mwanzilishi wa Muziki wa Dansi wa kisasa (Diamond Sound).
Wana Jf,

Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion . kwa sasa hana hata bodaboda. Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubari . wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Silent Inn mmiliki alikuwa ni Rwegasila? Nilijua ni Felician Mutta FM Studio Jamani Tunda nitalipataje Tunda? Tunda TamTam Daaaaa mda unaenda sana!!
Rwegasira hakuwahi kumiliki Silent Inn ingawa aliijenga yeye ile Club. Yeye alikuwa mpangaji tu kwa makubalino ya upangaji wa muda mrefu.
Felician alimiliki bendi ya FM International kiwanja cha nyumbani kikiwa pale Kinondoni jirani na makaburi ya Mtaa wa Ufipa. Nadhani palikuwa panaitwa Lang'ata Social Hall.
 
Back
Top Bottom