naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,083
Kuna uzinduzi mmoja wa Albamu ya Sugu mwaka 2001 nadhan, Wanachuo tulipunguziwa kiingilio na kila Ijumaa kulikua na Friday Faculty day na DJ Fast Eddy then wanagonga Wana kibinda Nkoi ha ha Elly Chinyama, Anicet Patelo, Zola Zinganguvu, Allain Mulumba Kashama!! Issue ya umiliki wa hiyo site ya Silent Inn ilimfiris
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kiwanja kilikuwa kikari balaa! Enzi hizo niko UDSM (FoE) baada ya kupiga msuli tunachepukia short cut ya pale ilipo mlimani city tunaingia kiwanja mida ya fungulia mbwa! Daah!
Sent using Jamii Forums mobile app