Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

Baada ya kumaliza form 4 mwaka 1998 tulizama pale Silent kusherehekea. Hapo umezichanga una hela ya bia tatu, kiingilio na mchango wa taxi. Kitambo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana JF,

Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion . kwa sasa hana hata bodaboda.

Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubali, wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
Huyo ndio nshomile feki,kakubali matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ndio nshomile feki,kakubali matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Amekubali matokeo mapema sana, hata kama kuna kukosea ukiishajiunga na dini ukataja madhambi yako yote wakati Wa kutafuta hutakuja kuaminika tena. Bora uwe kama yule mwenye vituo vya mafuta Victoria, yupo kwenye Dini na biashara yumo, ukikaa vibaya unaenda na maji
 
What I have learned from this thread is that, in whatever you do, make sure you have safety net!
 
Back
Top Bottom